Wana-Simba, naomba mjibu maswali yafuatayo

Wana-Simba, naomba mjibu maswali yafuatayo

KAGAMEE

JF-Expert Member
Joined
Dec 20, 2013
Posts
4,457
Reaction score
5,454
1. Bado mnaamini mna timu bora?

2. Bado mnaamini GSM anawahujumu?

3. Bado mnaamini mnakamiwa?

4. Bado mnaamini Simba Sc itawapa raha msimu huu kwa soka safi?

5. Bado mnaamini timu yenu ipo competent kupambana shirikisho?

6. Bado mnaamini Mo ni muwekazaji kwenye timu yenu?

7. Bado mnaamini Mo aliweka 20B kwenye account yenu?

8. Bado mnaamini MTAJENGA UWANJA wenu kwa hela za kuchangishana?

9. Bado mnaamini timu yenu ilitoka sare ba Mtibwa kisa ubovu wa uwanja??

10.Bado mnaamini kocha wenu kafundisha kweli Madrid?

NAWAKUMBUSHA:Timu yenu (yenye kikosi kipana)imezurula mikoa mitatu (Mbeya,Moro na Bukoba)Sasa inarudi dar na point moja tu🤣🤣🤣🤣🤣
 
YAAAANI BADO TUNAAMINI.
.
KWANZA TUKO NAFASI ya 2 sio kwamba tupo chini uko kwa prisons

Pili, Hakuna mwekezaji aliejitolea kama MWAMEDI,MUDI,MO,KANJIBAI (Vyovyote mtavyomuita) lakini MO DEWJI Kajitolea sanaaaa kwa SIMBA na TUNAMUAMINI......

La tatu, MANCITY msimu uliopita na ata msimu huu ametoka kuanzia wa Tano mpaka kileleni...msimu uliopita ndo kabsaa katokea wa saba uko mpaka kubeba kombe....BADO TUNAAMINI SIMBA HIIHII ITAWASHANGAZA KWA KUCHUKUA UBINGWA MARA YA 5 MFULULIZO

Tujajenga uwanja ilo halipingwi na vyura watatamani na wanatamani

La nne, BADO TUNAAMINI,,TUNAIMANI,,TUNAJIAMINI na TUNAAMINI KIKOSI CHA MSIMBAZI

KELELE ZA VYURA,HAZIMZUII SIMBA KUBEBA UBINGWA

Sent from my Infinix X612 using JamiiForums mobile app
 
YAAAANI BADO TUNAAMINI.
.
KWANZA TUKO NAFASI ya 2 sio kwamba tupo chini uko kwa prisons

PILI::Hakuna mwekezaji aliejitolea kama MWAMEDI,MUDI,MO,KANJIBAI (Vyovyote mtavyomuita) lakini MO DEWJI Kajitolea sanaaaa kwa SIMBA na TUNAMUAMINI......

LA TATU::: MANCITY msimu uliopita na ata msimu huu ametoka kuanzia wa Tano mpaka kileleni...msimu uliopita ndo kabsaa katokea wa saba uko mpaka kubeba kombe....BADO TUNAAMINI SIMBA HIIHII ITAWASHANGAZA KWA KUCHUKUA UBINGWA MARA YA 5 MFULULIZO

Tujajenga uwanja ilo halipingwi na vyura watatamani na wanatamani

LA NNE:: BADO TUNAAMINI,,TUNAIMANI,,TUNAJIAMINI na TUNAAMINI KIKOSI CHA MSIMBAZI

KELELE ZA VYURA,HAZIMZUII SIMBA KUBEBA UBINGWA

Sent from my Infinix X612 using JamiiForums mobile app
Ungetumia nafsi ya umoja ingependeza
 
FB_IMG_16432243569517667.jpg
 
1. Bado mnaamini mna timu bora?

2. Bado mnaamini GSM anawahujumu?

3. Bado mnaamini mnakamiwa?

4. Bado mnaamini Simba Sc itawapa raha msimu huu kwa soka safi?

5. Bado mnaamini timu yenu ipo competent kupambana shirikisho?

6. Bado mnaamini Mo ni muwekazaji kwenye timu yenu?

7. Bado mnaamini Mo aliweka 20B kwenye account yenu?

8. Bado mnaamini MTAJENGA UWANJA wenu kwa hela za kuchangishana?

9. Bado mnaamini timu yenu ilitoka sare ba Mtibwa kisa ubovu wa uwanja??

10.Bado mnaamini kocha wenu kafundisha kweli Madrid?

NAWAKUMBUSHA:Timu yenu (yenye kikosi kipana)imezurula mikoa mitatu (Mbeya,Moro na Bukoba)Sasa inarudi dar na point moja tu🤣🤣🤣🤣🤣
Wamekalia kimoko cha nguruwe tena.
 
Back
Top Bottom