Wana-Simba, naomba mjibu maswali yafuatayo

Huu mwaka wanasimba tutaoga kila aina ya kejeli na dharau.
minachojua msimu huu ni wa maumivu tu kwa Simba tumeanzia CAF mpaka kwenye ligi kuboronga, acha twende tutakaa sawa tu msimu unaokuja.

Lakini natoa pongezi kwa Utopolo watani zetu timu yenu ipo sawa.wachezaji wa Uto wanajituma kwa jasho na damu awapaki poda kwenye mechi,ni kazi kazi.

Simba nguvu moja.
 
Hizi akili zako mgawie ndugu yako GENTAMYCINE maana hana hata kdogo
 
Ila inakera sana unazurura mikoa mitatu yote mbeya, Moro na kagera halafu unarud na point moja tu!
 
YAAAANI BADO TUNAAMINI.
.
KWANZA TUKO NAFASI ya 2 sio kwamba tupo chini uko kwa prisons

Pili, Hakuna mwekezaji aliejitolea kama MWAMEDI,MUDI,MO,KANJIBAI (Vyovyote mtavyomuita) lakini MO DEWJI Kajitolea sanaaaa kwa SIMBA na TUNAMUAMINI......

La tatu, MANCITY msimu uliopita na ata msimu huu ametoka kuanzia wa Tano mpaka kileleni...msimu uliopita ndo kabsaa katokea wa saba uko mpaka kubeba kombe....BADO TUNAAMINI SIMBA HIIHII ITAWASHANGAZA KWA KUCHUKUA UBINGWA MARA YA 5 MFULULIZO

Tujajenga uwanja ilo halipingwi na vyura watatamani na wanatamani

La nne, BADO TUNAAMINI,,TUNAIMANI,,TUNAJIAMINI na TUNAAMINI KIKOSI CHA MSIMBAZI

KELELE ZA VYURA,HAZIMZUII SIMBA KUBEBA UBINGWA

Sent from my Infinix X612 using JamiiForums mobile app
Usijumuishe wenzako ongea wewe kama wewe
 
[emoji94].... Djigui Diara aliondoka akiacha Simba ina point 24

Anarudi anakuta Simba ina point 25

Anajiuliza Ligi ilisimama au???!![emoji848][emoji848][emoji28][emoji28][emoji28]
 
Kajitolea au anafanya biashara?? Mudi hawezi kufanya kazi ya hasara. Endelea kupigwa na kitu kizito huku ukiona Mudi najitolea
 
[emoji94].... Djigui Diara aliondoka akiacha Simba ina point 24

Anarudi anakuta Simba ina point 25

Anajiuliza Ligi ilisimama au???!![emoji848][emoji848][emoji28][emoji28][emoji28]
Maajabu haya🤣🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom