Wana-Simba, naomba mjibu maswali yafuatayo

Huu mwaka wanasimba tutaoga kila aina ya kejeli na dharau.
minachojua msimu huu ni wa maumivu tu kwa Simba tumeanzia CAF mpaka kwenye ligi kuboronga, acha twende tutakaa sawa tu msimu unaokuja.

Lakini natoa pongezi kwa Utopolo watani zetu timu yenu ipo sawa.wachezaji wa Uto wanajituma kwa jasho na damu awapaki poda kwenye mechi,ni kazi kazi.

Simba nguvu moja.
 
Hizi akili zako mgawie ndugu yako GENTAMYCINE maana hana hata kdogo
 
Ila inakera sana unazurura mikoa mitatu yote mbeya, Moro na kagera halafu unarud na point moja tu!
 
Usijumuishe wenzako ongea wewe kama wewe
 
Na gem ya jumapili wanafungwa tena..anaebisha tuwekeane kidau
 
[emoji94].... Djigui Diara aliondoka akiacha Simba ina point 24

Anarudi anakuta Simba ina point 25

Anajiuliza Ligi ilisimama au???!![emoji848][emoji848][emoji28][emoji28][emoji28]
 
Kajitolea au anafanya biashara?? Mudi hawezi kufanya kazi ya hasara. Endelea kupigwa na kitu kizito huku ukiona Mudi najitolea
 
Kajitolea au anafanya biashara?? Mudi hawezi kufanya kazi ya hasara. Endelea kupigwa na kitu kizito huku ukiona Mudi najitolea
Akili itamkaa tu achana nae
 
[emoji94].... Djigui Diara aliondoka akiacha Simba ina point 24

Anarudi anakuta Simba ina point 25

Anajiuliza Ligi ilisimama au???!![emoji848][emoji848][emoji28][emoji28][emoji28]
Maajabu haya🤣🤣🤣🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…