Wana Simba SC mnaoweweseka na Tetesi za Clatous Chama kwenda Yanga SC mmeanza Kuijua na Kuifuatilia Simba SC lini? Mnaniangusha

MINOCYCLINE

JF-Expert Member
Joined
Apr 2, 2015
Posts
8,018
Reaction score
16,802
Yawezekana 95% ya Vijana mnaoifuatilia na hata Kuishabikia Simba SC wengi wenu miaka yetu mlikuwa bado katika Zipu za Baba zenu wakitafakari wawalete duniani au waghairi tu.

Nimeshangaa na Kushangazwa mno kuona wana Simba SC leo wakiwa wameshtushwa na wengine hata Kuogopa baada ya Tetesi za Kimkakati kuhusu Usajili wa Clatous Chama kutua Yanga SC katika dirisha dogo la Desemba - Januari.

Sasa kwa taarifa yenu Klabu ya Simba imeshawahi kuwa na Wachezaji wakubwa na mahiri ambao kwa tuliowaona ( KEROZENE nikiwemo ) huyu Clatous Chota Chama wenu hajafikia hata tu 50% yao.

Waulizeni Baba zenu Wazazi uliokuwa Uwezo wa hawa Wachezaji ambao Simba SC imewahi kuwa nao na nawaorodhesha hapa kisha muwaulize kama huyu Chama wenu ambaye hata Yeye ameshakiri mara nyingi kuwa anazidiwa Kiuwezo na Kipaji na Rally Bwalya amewafikia.....

1. Thuweni Ally

2. Amri Ibrahim

3. Hamis Tobias Gaga

4. Rajab Msoma

5. Hussein Marsha

6. Patrick Betwel Buba

7. Shekhan Rashid

Clatous Chota Chama alikuzwa mno na Propaganda za Waandishi wa Habari za Michezo nchini ambao huanua Kumpamba Michezaji fulani ili wawe wanapata chochote Kitu na kwa tulio Jirani na Waandishi wa Habari hili tunalijua na wala si geni Kwetu.

Sisemi kwamba Mchezaji Clatous Chota Chama si mzuri na mahiri ila nakataa kusema kuwa ndiyo alikuwa Chacbu ya Ushindi wa Simba SC alipokuwa wakati kuna Mechi kadhaa hakuwepo na ambazo zilikuwa Muhimu ila Simba SC ilishinda na Ubingwa kuuchukua vile vile.

Acheni kuwa Majuha kama Yanga SC.
 
Hao uliwataja walicheza mpira katika kjpindi ambacho pesa haikuwepo.

Unajua kwanini Simba SC waloweka kipengere kwenye mkataba wa Miqquisone na Al Ahly kuwa hatotakiwa kurudi Kucheza Bongo timu tofauti na Simba SC?

Ni kwa sababu simba walijua kuwa kuna upande fulani hapa Bongo unao uwezo wa kucheza karata chafu.

Just Relax. 😂😂😂
 
Unajua kwanini Simba SC waloweka kipengere kwenye mkataba wa Miqquisone na Al Ahly kuwa hatotakiwa kurudi Kucheza Bongo timu tofauti na Simba SC...😂😂😂
Una maanisha kwenye mkataba wa chama hicho kipengele hamna?
 
Hao uliwataja walicheza mpira katika kjpindi ambacho pesa haikuwepo.

Unajua kwanini Simba SC waloweka kipengere kwenye mkataba wa Miqquisone na Al Ahly kuwa hatotakiwa kurudi Kucheza Bongo timu tofauti na Simba SC...😂😂😂
Wewe unasumbuka sana. Simba inakunyima usingizi.
Nyie UTOPOLO mtachukua kombe la chai.
 
Hao uliwataja walicheza mpira katika kjpindi ambacho pesa haikuwepo.

Unajua kwanini Simba SC waloweka kipengere kwenye mkataba wa Miqquisone na Al Ahly kuwa hatotakiwa kurudi Kucheza Bongo timu tofauti na Simba SC?

Ni kwa sababu simba walijua kuwa kuna upande fulani hapa Bongo unao uwezo wa kucheza karata chafu.

Just Relax. 😂😂😂
Leta huo mkataba tusome humu
 
Chama analipwa mil 30 na chench nahisi kuvunja mkataba wa chama Morocco ni bil 1+ je timu gani bongo inauwezo huo watu hawafikiriii hili swala la chama ni la kipropaganda ili liue swala la wadhamini wa gsm
 
Mimi huyo nimeshamuwekea [emoji3582].
Aende kwa manara wake aliyekuwa anamsifia.
Timu ikiamua unatakiwa MUWE PAMOJA.
 
Yawezekana 95% ya Vijana mnaoifuatilia na hata Kuishabikia Simba SC wengi wenu miaka yetu mlikuwa bado katika Zipu za Baba zenu wakitafakari wawalete duniani au waghairi tu.

Nimeshangaa na Kushangazwa mno kuona wana Simba SC leo wakiwa wameshtushwa na wengine hata Kuogopa baada ya Tetesi za Kimkakati kuhusu Usajili wa Clatous Chama kutua Yanga SC katika dirisha dogo la Desemba - Januari.

Sasa kwa taarifa yenu Klabu ya Simba imeshawahi kuwa na Wachezaji wakubwa na mahiri ambao kwa tuliowaona ( KEROZENE nikiwemo ) huyu Clatous Chota Chama wenu hajafikia hata tu 50% yao.

Waulizeni Baba zenu Wazazi uliokuwa Uwezo wa hawa Wachezaji ambao Simba SC imewahi kuwa nao na nawaorodhesha hapa kisha muwaulize kama huyu Chama wenu ambaye hata Yeye ameshakiri mara nyingi kuwa anazidiwa Kiuwezo na Kipaji na Rally Bwalya amewafikia.....

1. Thuweni Ally

2. Amri Ibrahim

3. Hamis Tobias Gaga

4. Rajab Msoma

5. Hussein Marsha

6. Patrick Betwel Buba

7. Shekhan Rashid

Clatous Chota Chama alikuzwa mno na Propaganda za Waandishi wa Habari za Michezo nchini ambao huanua Kumpamba Michezaji fulani ili wawe wanapata chochote Kitu na kwa tulio Jirani na Waandishi wa Habari hili tunalijua na wala si geni Kwetu.

Sisemi kwamba Mchezaji Clatous Chota Chama si mzuri na mahiri ila nakataa kusema kuwa ndiyo alikuwa Chacbu ya Ushindi wa Simba SC alipokuwa wakati kuna Mechi kadhaa hakuwepo na ambazo zilikuwa Muhimu ila Simba SC ilishinda na Ubingwa kuuchukua vile vile.

Acheni kuwa Majuha kama Yanga SC.
Gentamycine una akaunti ngapi kwani?
 
Chama analipwa mil 30 na chench nahisi kuvunja mkataba wa chama Morocco ni bil 1+ je timu gani bongo inauwezo huo watu hawafikiriii hili swala la chama ni la kipropaganda ili liue swala la wadhamini wa gsm
Atoke kulipqa Milioni 8 na Simba SC...mpaka kulipwa milioni 30.

Unatumia uloto wa magoti kufikiri?
 
Hao uliwataja walicheza mpira katika kjpindi ambacho pesa haikuwepo.

Unajua kwanini Simba SC waloweka kipengere kwenye mkataba wa Miqquisone na Al Ahly kuwa hatotakiwa kurudi Kucheza Bongo timu tofauti na Simba SC?

Ni kwa sababu simba walijua kuwa kuna upande fulani hapa Bongo unao uwezo wa kucheza karata chafu.

Just Relax. [emoji23][emoji23][emoji23]
Siasa za mpira zinachekesha sana, hayo masharti wanaweza wekewa wabongo wasiojielewa, wenye ndoto za kuchexa Simba na Yanga tu.
 
Atoke kulipqa Milioni 8 na Simba SC...mpaka kulipwa milioni 30.

Unatumia uloto wa magoti kufikiri?
Chakwanza alikuwa halipwi million 8 msimu huu ulivyokua unaanza angelipwa pesa ndefu na yarecord kwa ligi yetu pia yeye ndo alikuwa analipwa pesa ndefu yz.....unadhani waarabu Wana njaa Kama sisi mkuu hakuna timu bongo yenye uwezo wakumsajili chama haipo bongo hii....Ila utopolo ni maboya kitambo mshazoea kudanganywa ndo jadi yenu
 
Usijibu hoja ukiwa na povu mdomoni.
 
Yawezekana 95% ya Vijana mnaoifuatilia na hata Kuishabikia Simba SC wengi wenu miaka yetu mlikuwa bado katika Zipu za Baba zenu wakitafakari wawalete duniani au waghairi tu.

Nimeshangaa na Kushangazwa mno kuona wana Simba SC leo wakiwa wameshtushwa na wengine hata Kuogopa baada ya Tetesi za Kimkakati kuhusu Usajili wa Clatous Chama kutua Yanga SC katika dirisha dogo la Desemba - Januari.

Sasa kwa taarifa yenu Klabu ya Simba imeshawahi kuwa na Wachezaji wakubwa na mahiri ambao kwa tuliowaona ( KEROZENE nikiwemo ) huyu Clatous Chota Chama wenu hajafikia hata tu 50% yao.

Waulizeni Baba zenu Wazazi uliokuwa Uwezo wa hawa Wachezaji ambao Simba SC imewahi kuwa nao na nawaorodhesha hapa kisha muwaulize kama huyu Chama wenu ambaye hata Yeye ameshakiri mara nyingi kuwa anazidiwa Kiuwezo na Kipaji na Rally Bwalya amewafikia.....

1. Thuweni Ally

2. Amri Ibrahim

3. Hamis Tobias Gaga

4. Rajab Msoma

5. Hussein Marsha

6. Patrick Betwel Buba

7. Shekhan Rashid

Clatous Chota Chama alikuzwa mno na Propaganda za Waandishi wa Habari za Michezo nchini ambao huanua Kumpamba Michezaji fulani ili wawe wanapata chochote Kitu na kwa tulio Jirani na Waandishi wa Habari hili tunalijua na wala si geni Kwetu.

Sisemi kwamba Mchezaji Clatous Chota Chama si mzuri na mahiri ila nakataa kusema kuwa ndiyo alikuwa Chacbu ya Ushindi wa Simba SC alipokuwa wakati kuna Mechi kadhaa hakuwepo na ambazo zilikuwa Muhimu ila Simba SC ilishinda na Ubingwa kuuchukua vile vile.

Acheni kuwa Majuha kama Yanga SC.

Huu muandiko kama sio wa Genta basi labda mume wake Genta 😀

Tusi plus povu ruksa
 
Back
Top Bottom