MINOCYCLINE
JF-Expert Member
- Apr 2, 2015
- 8,018
- 16,802
Yawezekana 95% ya Vijana mnaoifuatilia na hata Kuishabikia Simba SC wengi wenu miaka yetu mlikuwa bado katika Zipu za Baba zenu wakitafakari wawalete duniani au waghairi tu.
Nimeshangaa na Kushangazwa mno kuona wana Simba SC leo wakiwa wameshtushwa na wengine hata Kuogopa baada ya Tetesi za Kimkakati kuhusu Usajili wa Clatous Chama kutua Yanga SC katika dirisha dogo la Desemba - Januari.
Sasa kwa taarifa yenu Klabu ya Simba imeshawahi kuwa na Wachezaji wakubwa na mahiri ambao kwa tuliowaona ( KEROZENE nikiwemo ) huyu Clatous Chota Chama wenu hajafikia hata tu 50% yao.
Waulizeni Baba zenu Wazazi uliokuwa Uwezo wa hawa Wachezaji ambao Simba SC imewahi kuwa nao na nawaorodhesha hapa kisha muwaulize kama huyu Chama wenu ambaye hata Yeye ameshakiri mara nyingi kuwa anazidiwa Kiuwezo na Kipaji na Rally Bwalya amewafikia.....
1. Thuweni Ally
2. Amri Ibrahim
3. Hamis Tobias Gaga
4. Rajab Msoma
5. Hussein Marsha
6. Patrick Betwel Buba
7. Shekhan Rashid
Clatous Chota Chama alikuzwa mno na Propaganda za Waandishi wa Habari za Michezo nchini ambao huanua Kumpamba Michezaji fulani ili wawe wanapata chochote Kitu na kwa tulio Jirani na Waandishi wa Habari hili tunalijua na wala si geni Kwetu.
Sisemi kwamba Mchezaji Clatous Chota Chama si mzuri na mahiri ila nakataa kusema kuwa ndiyo alikuwa Chacbu ya Ushindi wa Simba SC alipokuwa wakati kuna Mechi kadhaa hakuwepo na ambazo zilikuwa Muhimu ila Simba SC ilishinda na Ubingwa kuuchukua vile vile.
Acheni kuwa Majuha kama Yanga SC.