AKILI TATU
JF-Expert Member
- Feb 10, 2016
- 2,659
- 2,827
SIKU AKIPATA ..SAWA KAMA NI HIVYO majigambo tupunguze,,na ushauri hewa tunaotoa hapa auna maana ..tuwaachie wenye timu kina MO Dewji watuamilie nani watamsajili maana hao ndio wanato pesa ...sisi hata kuwasuport kwa kwenda uwanjani hatufanyi..theni tunakuja hapa midomo mireeefuu kupendekeza majina..shame on you..Unapata wapi huo ujasiri wakusema watu wanao changia kwenye huu uzi hawana kadi! Au una jicho la kiroho. Kwakua hapa hatutumii majina halisi hauna haki ya kutu judge mzee. Unaonekana kama una stress hivi. Acha kujichosha, hatausemeje watu wata toa mawazo yao. Mwingine hana ata buku ya kuchangia ila anaipenda Simba na akiona mchezaji ana zingua atasema tu. Siku akipata atasaidia timu yake. Wewe piga kimya
Pale Madrid ,,,mashabiki wanaweza kufanya kama hivi na timu ikatekeleza maana wanalipa kila kitu,,na pesa wanazo..Barcelona pia the same..ila ona Man United hawawezi maana mwenye timu na mtoa pesa ni mtu mmoja mwingine kama ilivyo hapa kwetu Simba SC..
Tukubali,,kuwa shabiki wa Simba na Yanga bila kuichangia timu yako ..kisha unakuja hapa unalalamika na kutoa mapendekezo huo ni ujuha na uzwazwa