Wana Simba SC wenzangu nawaomba sana tujiandae 'Kisaikolojia' kwa Mchezo wa Leo dhidi ya Azam FC kwa Mkapa

Wana Simba SC wenzangu nawaomba sana tujiandae 'Kisaikolojia' kwa Mchezo wa Leo dhidi ya Azam FC kwa Mkapa

Mpumbavu mwenyewe makolo we unabebwa na mbereko ya chuma
Kwani nyie mnavyodhamini mitimu mi8 mnakua mmepakatwa sio kubebwa?? Au kwa sbb ni nyie kwa nyie wenye chapa ya GSM so mnapakatana...
 
Hoja ya msingi hakuna mdhamini hahusiki ktk mechi yoyote ile kwa hiyo jengeni simba yenu sio hoja mdhamini ,acheni kubebwa na filimbi feki,kadi feki nyekundu zinafutwa na bodi ya ligi aibu yenu simba
 
Kwani nyie mnavyodhamini mitimu mi8 mnakua mmepakatwa sio kubebwa?? Au kwa sbb ni nyie kwa nyie wenye chapa ya GSM so mnapakatana...
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Naanza kuamini, maana Refa ni Arajiga, huyu ni shabiki lia lia wa uto.
Leo atafanya kila hila, ili simba isishinde, daaah
 
Umetisha mkuu.

These days, you make very clear and accurate predictions.

The predictions have been 100% true so far.
Sigida Fountain Gate.
Azam FC.

Bravo.
 
Umetisha mkuu.

These days, you make very clear and accurate predictions.

The predictions have been 100% true so far.
Sigida Fountain Gate.
Azam FC.

Bravo.
Endelea KUNICHUKIA na kuwa MNAFIKI, ila jua tu kuwa Mimi ni HABARI nyingine hapa JamiiForums na duniani.
 
Back
Top Bottom