Kwani nyie mnavyodhamini mitimu mi8 mnakua mmepakatwa sio kubebwa?? Au kwa sbb ni nyie kwa nyie wenye chapa ya GSM so mnapakatana...Mpumbavu mwenyewe makolo we unabebwa na mbereko ya chuma
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kwani nyie mnavyodhamini mitimu mi8 mnakua mmepakatwa sio kubebwa?? Au kwa sbb ni nyie kwa nyie wenye chapa ya GSM so mnapakatana...
Leo kwa mara ya kwanza naona unamsifia Genta , maajabu sana .Umetisha mkuu.
These days, you make very clear and accurate predictions.
The predictions have been 100% true so far.
Sigida Fountain Gate.
Azam FC.
Bravo.
Kabla ya kuja GSM Ubingwa aliochukua Yanga hadi kuwazidi Makolo nani alikuwa anaidhamini?Kwani nyie mnavyodhamini mitimu mi8 mnakua mmepakatwa sio kubebwa?? Au kwa sbb ni nyie kwa nyie wenye chapa ya GSM so mnapakatana...
Nasubiria kujua lini mtanijengea Manara wangu wa Kutukuka hapa JamiiForums.Jenta kama jenta
Endelea KUNICHUKIA na kuwa MNAFIKI, ila jua tu kuwa Mimi ni HABARI nyingine hapa JamiiForums na duniani.Umetisha mkuu.
These days, you make very clear and accurate predictions.
The predictions have been 100% true so far.
Sigida Fountain Gate.
Azam FC.
Bravo.
kweli nimeamini!Nasubiria kujua lini mtanijengea Manara wangu wa Kutukuka hapa JamiiForums.
Mimi ndiyo GENTAMYCINE Kudadadeki....!!!!