Wana Simba SC wenzangu tafadhali tumkope Akili Beki Dickson Job na tumpe Mshambuliaji wetu John Boko ili zimsaidie Kiufanisi Uwanjani

MINOCYCLINE

JF-Expert Member
Joined
Apr 2, 2015
Posts
8,018
Reaction score
16,802
Kama leo ningepewa Furushi la Fimbo za Mianzi au Mipera na kuambiwa nimchague mchezaji wa Taifa Stars aliyenikera ilipocheza na Madagascar na nimchape nazo nina uhakika Mshambuliaji wangu wa Simba SC angezikoga kama siyo Kuzichezea sana.

Haiwezekani Beki wa Yanga SC ninayemuhusudu ( ninayempenda ) Dickson Job anahangaika Kuzuia Mashambulizi na hapo happy tena anapanda mbele kwenda Kushambulia halafu Mshambuliaji John Boko anazungukazunguka na kurukaruka tu Uwanjani bila faida yotote ile.

Natamani mno Kocha wetu Mkuu Simba SC Pablo Franco apendekeze tu kwa Uongozi wa Simba SC huyu John Boko amalize Msimu huu kisha astaafu na Klabu ikamsomeshe Ukocha ili aje kuwa na Faida kwa Soka la Vijana na la Vilabu Vikubwa ikiwemo hata Simba SC yake.

John Boko leo ameharibu na Kutuboa.
 
Ungewapigia simu kina Poulsen wamtowe nje sub si zilikuwepo? kama makocha waliamua kumuacha acheze basi walilidhika nae!
Hawo mabeki wa Yanga ndo waliotuangusha mechi ya wacongo alafu wewe eti leo unataka tukope akili zao , of what use???
 
Mimi sikuwa hata na stimu ya kuangalia mpira wa leo

Ila msuva ana fight sana kuinasua nchi kwenye zongwe la aibu lakini kina kibu, boko kapombe wamekua wakimkatisha tamaa
Unapomlaumu mtu ambae hata hakucheza
 
Kama leo ningepewa Furushi la Fimbo za Mianzi au Mipera na kuambiwa nimchague mchezaji wa Taifa Stars aliyenikera ilipocheza na Madagascar na nimchape nazo nina uhakika Mshambuliaji wangu wa Simba SC angezikoga kama siyo Kuzichezea sana.

Haiwezekani Beki wa Yanga SC ninayemuhusudu ( ninayempenda ) Dickson Job anahangaika Kuzuia Mashambulizi na hapo happy tena anapanda mbele kwenda Kushambulia halafu Mshambuliaji John Boko anazungukazunguka na kurukaruka tu Uwanjani bila faida yotote ile.

Natamani mno Kocha wetu Mkuu Simba SC Pablo Franco apendekeze tu kwa Uongozi wa Simba SC huyu John Boko amalize Msimu huu kisha astaafu na Klabu ikamsomeshe Ukocha ili aje kuwa na Faida kwa Soka la Vijana na la Vilabu Vikubwa ikiwemo hata Simba SC yake.

John Boko leo ameharibu na Kutuboa.
Mpira ni zaidi ya hicho unachokiwaza.

Akifeli Boko ni matokeo ya viungo kufeli. Msuva asingefunga Kam hakupenyezewa ile pasi na Feisal.

MTU unakula makande yako huko unavimbiwa unakuja kujamba humu .
 
hahahahah mfungaji bora wenu huyo makolo fc, leo unamkataa mtani???
 
Mpira ni zaidi ya hicho unachokiwaza.

Akifeli Boko ni matokeo ya viungo kufeli. Msuva asingefunga Kam hakupenyezewa ile pasi na Feisal.

MTU unakula makande yako huko unavimbiwa unakuja kujamba humu .
Foolish.
 
Pov[emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom