MINOCYCLINE
JF-Expert Member
- Apr 2, 2015
- 8,018
- 16,802
Kama leo ningepewa Furushi la Fimbo za Mianzi au Mipera na kuambiwa nimchague mchezaji wa Taifa Stars aliyenikera ilipocheza na Madagascar na nimchape nazo nina uhakika Mshambuliaji wangu wa Simba SC angezikoga kama siyo Kuzichezea sana.
Haiwezekani Beki wa Yanga SC ninayemuhusudu ( ninayempenda ) Dickson Job anahangaika Kuzuia Mashambulizi na hapo happy tena anapanda mbele kwenda Kushambulia halafu Mshambuliaji John Boko anazungukazunguka na kurukaruka tu Uwanjani bila faida yotote ile.
Natamani mno Kocha wetu Mkuu Simba SC Pablo Franco apendekeze tu kwa Uongozi wa Simba SC huyu John Boko amalize Msimu huu kisha astaafu na Klabu ikamsomeshe Ukocha ili aje kuwa na Faida kwa Soka la Vijana na la Vilabu Vikubwa ikiwemo hata Simba SC yake.
John Boko leo ameharibu na Kutuboa.