Nasisitiza katika Uzi wangu sijasema Simba SC itafungwa au itashinda basi nimesema Kujiandaa 'Kisaikolojia' kwa Taarifa Hasi ( Mbaya ) au Chanya ( Nzuri ) kwa Mashabiki wa Simba SC hasa kwa Siku ya leo ni Jambo muhimu na la msingi mno.
Yoyote atakayeutafsiri huu Uzi kuwa ninasema leo Simba SC atafungwa ( anafungwa ) na Azam FC atakuwa ni 'damn Fool' na asipoteze muda wake nami kwani anaweza Kupata Majibu yangu ambayo najua na nina uhakika hayatomfurahisha.
Namalizia kwa Kusisitiza kuwa kama ilivyo kwa Binadamu kuwa tayari kwa lolote ni Jambo jema basi hata kwa Mashabiki wa Simba SC nao kwa Siku ya leo wajiandae Kufurahi na Kukasirika kwa pamoja.