Wana Simba SC Wenzangu tuanzeni mapema Kujiandaa 'Kisaikolojia' kwa taarifa mbaya au nzuri baada ya Saa 12 leo Jioni

Wana Simba SC Wenzangu tuanzeni mapema Kujiandaa 'Kisaikolojia' kwa taarifa mbaya au nzuri baada ya Saa 12 leo Jioni

Hii habari ni balaa. Mwandishi hawezi kukosea baada ya mechi atakuwa sawa. Labda iwe droo na penati zisipigwe kitu ambacho hakipo kabsa kwenye soccer.
 
Goli la usiku.
Ni kweli ilistahiki watu kujiandaa kisaikolojia. Game ilikuwa tafu.

Fainali ilikuwa hii mechi ya Simba na Azam. Kule Kigoma, Simba ikachukue Kombe lake tu.
 
Napongeza sana chama langu Simba Sc lakini je kwenye mpira inaruhusiwa kuanzisha mpira kabla refa hajaruhusu? Ka kurejea kilichotokea muda mfupi ulio pita!! Mimi sijui vizuro sheria zote za mpira
 
Kwa hiyo ulitaka wasubiri ujinga wa wachezaji wa Azam kumlalamikia mwamuzi kwa ujinga waliofanya wenyewe?
Napongeza sana chama langu Simba Sc lakini je kwenye mpira inaruhusiwa kuanzisha mpira kabla refa hajaruhusu? Ka kurejea kilichotokea muda mfupi ulio pita!! Mimi sijui vizuro sheria zote za mpira
 
Napongeza sana chama langu Simba Sc lakini je kwenye mpira inaruhusiwa kuanzisha mpira kabla refa hajaruhusu? Ka kurejea kilichotokea muda mfupi ulio pita!! Mimi sijui vizuro sheria zote za mpira
Mi sijaangalia mechi, nisaidie kuelezea tukio hilo lilikuwaje?
 
Napongeza sana chama langu Simba Sc lakini je kwenye mpira inaruhusiwa kuanzisha mpira kabla refa hajaruhusu? Ka kurejea kilichotokea muda mfupi ulio pita!! Mimi sijui vizuro sheria zote za mpira
Refa alishaamuru mpira upigwa lakini wale washamba wakawa wanabishana na refa badala ya kuweka ukuta. Somo zuri sana kwa wachezaji washamba.
 
Mioyo yetu si vibaya sana kama tukianza Kuizoesha Asubuhi hii kwa kupokea Habari ( Taarifa ) yote tu ile iwe ni mbaya au nzuri kuanzia Saa 12 Kamili jioni ya leo.

Nawatakieni kila la Kheri ila tu tusiumie.
Crap....
 
Leo ramli imegoma[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Pumbavu nionyeshe ni wapi nimesema au nilisema Simba SC leo inafungwa?

Na nalijua tu baada ya Mechi kuna 'Fools' kama Wewe mtakuja kama vile kutaka Kunishushua.

Mbona hukuja Kuchangia Uzi huu mapema na umesubiri hadi Mechi iishe? Wanafiki wakubwa nyie.

Na nawasubiri mje ili muyakoge mno tu.

Cc: TIMING
 
Sasa kinachokukasirisha Nini na wewe umetuambia tujiandae kisaikolojia. Sasa huna Habari yoyote unanunia watu au uko kwenye siku zako chawa
 
Back
Top Bottom