Pettymagambo
JF-Expert Member
- Aug 21, 2017
- 1,490
- 8,227
Huyu jamaa namkubaligi sana kwakufukunyua mambo pale kwenye club pendwa tena iliyobarikiwa na MUNGU naambayo inacheza soccer lililothibitishwa kwaviwango vya kidunia na fifa yaani SIMBA SPORTS CLUB. Lakini anapoanzaga matusi huwaga silielewi kbs