GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Taarifa mbaya kutokana na mchezo na azam? No way!!!Mioyo yetu si vibaya sana kama tukianza Kuizoesha Asubuhi hii kwa kupokea Habari ( Taarifa ) yote tu ile iwe ni mbaya au nzuri kuanzia Saa 12 Kamili jioni ya leo.
Nawatakieni kila la Kheri ila tu tusiumie.
Kiongozi Kigali salama huko?Mioyo yetu si vibaya sana kama tukianza Kuizoesha Asubuhi hii kwa kupokea Habari ( Taarifa ) yote tu ile iwe ni mbaya au nzuri kuanzia Saa 12 Kamili jioni ya leo.
Nawatakieni kila la Kheri ila tu tusiumie.
We jamaa kiazi mbatata sana.Nasisitiza katika Uzi wangu sijasema Simba SC itafungwa au itashinda basi nimesema Kujiandaa 'Kisaikolojia' kwa Taarifa Hasi ( Mbaya ) au Chanya ( Nzuri ) kwa Mashabiki wa Simba SC hasa kwa Siku ya leo ni Jambo muhimu na la msingi mno.
Yoyote atakayeutafsiri huu Uzi kuwa ninasema leo Simba SC atafungwa ( anafungwa ) na Azam FC atakuwa ni 'damn Fool' na asipoteze muda wake nami kwani anaweza Kupata Majibu yangu ambayo najua na nina uhakika hayatomfurahisha.
Namalizia kwa Kusisitiza kuwa kama ilivyo kwa Binadamu kuwa tayari kwa lolote ni Jambo jema basi hata kwa Mashabiki wa Simba SC nao kwa Siku ya leo wajiandae Kufurahi na Kukasirika kwa pamoja.
Just prepare yourself Psychologically.Kiongozi Kigali salama huko?
Itakua umeota wewe, haya bana.
Simba leo hatuna maneno mengi, tunataka biriani au gwaride yaani kivyovyote vile.
Tuliza pele wewe Dada.Kama wale Wanaume ambao Wanakukaza.
Dimwit.Tuliza pele wewe Dada.
Goba imekuwa kigali?Kiongozi Kigali salama huko?
Itakua umeota wewe, haya bana.
Simba leo hatuna maneno mengi, tunataka biriani au gwaride yaani kivyovyote vile.