Wana Simba SC wote mnaomtukana, kumdharau na kutomtaka Kibu Denis akirejea kutoka Kampala mkamuombe Radhi

Jana kajitahidi sana ndie aliekua mwiba wa safu ya ulinzi ya vipers.Kibu hua ana energy siku zote na nimzuri sana hewani shida yake kubwa ni brain,anakosa maarifa na hua hana utulivu kabisa.kwangu bado anabaki kua mchezaji wa kawaida tu.
 
Kibu ni mchezaji mzuri tuu kikubwa ambacho anapaswa kushauliwa ni kutanguliza akili then mwili ufuate na sio kuanza na mwili akili Iko nyuma...
 
mtani nakupa hongera kwa ushindi wa jana
 
Kwa ujumla Simba ilipwaya sana eneo la kati na mbele, viungo na washambuliaji wake hawakuwa na uwezo wa kuhold mpira...

Vipers timu ya kawaida sana, ila mechi ya pili Dar watakuwa aggressive hivyo ni rahisi kufanya makosa...Simba itumie huo mwanya kuchukua tena points 3
 
Kumbe Mkuu GENTAMYCINE/MINOCYCLINE ni mwanasaikolojia? Naheshimu sana wataalamu wa pyschology.
-I believe everything is about people's psychology(Social life, politics, Sales, Marketing, e.t.c)

Kuhusu uzi: Kibu Denis ni Super B.

N.B. Pasipo kuathiri content za uzi huu, but I discovered ukiwa kwenye hii I.D atleast akili yako inatulia, ila yule wa MINOCYLINE ni mjinga mjinga sana. Tuliza akili yako Mkuu.
 
Acha unafiki,kukosea kupo, kama hukosei basi wewe siomwanadam!

Hakuna beki zaidi yake dogo Hussein anajitoa sana.... basi tutest mtambo akae benci mechi 3 tuone! 😂
Sasa unafiki uko wapi wakati nimeweka mawazo yangu wazi. Wanafiki ni wale wanaoogopa kumwambia ukweli halafu kila siku timu ina suffer na wenzake wanahaha kucover mapungufu yake. Macaptain wa Simba ndiyo wanaongoza kwa mapungufu, jambo la ajabu sana hili.
 
tahira ww,kwenda kwa utopolo wenzio
 
Hayo mawazo mgando ya wiki nzima!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…