Wana Simba SC wote tumeshamaliza Kazi Kesho Mwarabu atatafuta wapi akimbilie

Jamani si nimeuliza tu muda ndugu yangu [emoji28]

Sent from my vivo 1906 using JamiiForums mobile app
Kwa Wiki nzima sasa Redioni, Runingani na hata katika Social Platforms mbalimbali Matangazo yote yanasema ( yanataja ) muda wa Mechi kuanza na kama haitoshi ungeingia tu Google au katika Mtandao wa Simba SC au CAF Online ungejua muda na access hiyo unayo. Nachukia mno Mijitu Minafiki, Mivivu na ya hovyo hovyo.
 
Punguza makasiriko mkuu wangu maisha yenyewe mafupi haya

Back
Top Bottom