Wana Simba SC wote tumeshamaliza Kazi Kesho Mwarabu atatafuta wapi akimbilie

Wana Simba SC wote tumeshamaliza Kazi Kesho Mwarabu atatafuta wapi akimbilie

Simba anaweza kushinda lakini sio kwa goli nyingi..
 
Mungu ni WA Wote.

Matter of fact ni QUALITY.

Zile quality za akina Miquesson, Wawa, Lwanga, Morison, Bwalya, Kagere, Dilunga hazipo Tena.

Mo ANASHINDWA hata kusajili MANZOKI!!!!! SHAME
Hana pesa
 
Kwani kinachotakiwa ni Idadi ya Goli au Ushindi tu wa kukupa Alama ( Points ) Tatu ( 3 ) muhimu katika Kundi husika la CAFCL?
Waarabu washafungwa..japo mpaka jana saa sita usiku mzani ulikua kwa simba ila alfajiri ya leo "wazee" wanasema kuna msaliti kauza ramani..ndio wanaminyana hivi kurekebisha.
 
Kwenye kiungo cha juu, tunaanza na Phil kushoto, Chama kati na kulia Saidoo
Mbele Jean
 
Mungu ni WA Wote.

Matter of fact ni QUALITY.

Zile quality za akina Miquesson, Wawa, Lwanga, Morison, Bwalya, Kagere, Dilunga hazipo Tena.

Mo ANASHINDWA hata kusajili MANZOKI!!!!! SHAME
Mashabiki wakweli wachache mliobaki nchini japo kuna kipindi unazingua lakini una faida kubwa kwa mpira wa nchi hii. Uliyosema kuna watu wako Simba/Yanga hawataki yasemwe. Unakwenda kutafuta ubingwa wa Afrika kwa kutegemea KibuBoko?
 
Back
Top Bottom