Wana Simba SC Wote twendeni na Wakili Moses Stewart Kalua kwa nafasi ya Uenyekiti katika Uchaguzi Mkuu ujao wa Simba SC

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
60,660
Reaction score
121,325
Wana Simba SC wote (hasa Wanachama) mkikosea tena, mkarubuniwa na Kuhongwa Pesa za Msoga na Salamander na Kumrejesha tena Uongozini Murtaza Mangungu (Mwenyekiti anayemaliza muda wake) nitawadharau na nitaichukia Klabu Daima kwani nitaamini kuwa mtakuwa mmekubali Kuuhalalisha Ubingwa wa Yanga SC kwa Misimu Kumi (10) ijayo.

Mchagueni Adv Moses Stewart Kalua.
 
... ni sawa na CEO wa Yanga, ni mtendaji lakini matukio yote muhimu hayupo, anaonekana hersi 😆😆😆
Japo unaharibu Uzi unaojadili mstakabali wa Timu yako badala ya kuleta hoja unaleta vihoja kisa mimi ni Mwananchi, nguvu ya CEO wa Yanga tena wa kuajiriwa huwezi kumfananisha na Mwenyekiti wa kuchaguliwa anayewakilisha maslahi ya wanachama na kusimamia hisa asilimia 51,CEO wa Yanga ni mwajiriwa anayelinda maslahi ya anayemlipa mshahara tu.

Kumfananisha CEO wa Yanga na Mwenyekiti wa Club ya Simba ni kuidharau na kuidhihaki Simba na ile asilimia 51 ambayo nawewe umo humo ndani
 
kwa hiyo ndio asiwepo hata katika picha ya tukio moja tu la usajili? Sasa anafanya utendaji gani? Hata kesi ya Feisal jamani inahiatji usimamizi wa hisa?
 
Japo unaharibu Uzi unaojadili mstakabali wa Timu yako badala ya kuleta hoja unaleta vihoja kisa mimi ni Mwananchi, nguvu ya CEO wa Yanga tena wa kuajiriwa huwezi kumfananisha na Mwenyekiti wa kuchaguliwa anayewakilisha maslahi ya wanachama na kusimamia hisa asilimia 51,CEO wa Yanga ni mwajiriwa anayelinda maslahi ya anayemlipa mshahara tu.

Kumfananisha CEO wa Yanga na Mwenyekiti wa Club ya Simba ni kuidharau na kuidhihaki Simba na ile asilimia 51 ambayo nawewe umo humo ndani
CEO wa uto mzinduaji wa mabandiko ya gazeti umfananishe na mwenyekit wa simba utakuwa huna akili
Tangu atue hapo Uto kafanya jambo gani la maana? Zaidi anafugwa tu ndani kama msukule kambole
 
Ungekuwa umesoma vizuri Uzi na comments ungeelewa vizuri nani aliyeleta hiyo hoja ya kufananisha......ila kwasababu ya kukurupuka na umbux3 ndiyo maana umedandia treni Kwa mbele
 
Back
Top Bottom