GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
...Ni sawa na CEO wa Yanga, ni mtendaji lakini matukio yote muhimu hayupo, anaonekana hersi πππKwasasa Simba cheo Cha Mwenyekiti hakina nguvu,Ahmed Ally ana nguvu kuliko hata Mangungo,Nkwabi alishindwa na kuamua kuacha kwasababu kile cheo ni box tu,hana maamuzi wala mamlaka yoyote klabuni...
Japo unaharibu Uzi unaojadili mstakabali wa Timu yako badala ya kuleta hoja unaleta vihoja kisa mimi ni Mwananchi, nguvu ya CEO wa Yanga tena wa kuajiriwa huwezi kumfananisha na Mwenyekiti wa kuchaguliwa anayewakilisha maslahi ya wanachama na kusimamia hisa asilimia 51,CEO wa Yanga ni mwajiriwa anayelinda maslahi ya anayemlipa mshahara tu.... ni sawa na CEO wa Yanga, ni mtendaji lakini matukio yote muhimu hayupo, anaonekana hersi πππ
kwa hiyo ndio asiwepo hata katika picha ya tukio moja tu la usajili? Sasa anafanya utendaji gani? Hata kesi ya Feisal jamani inahiatji usimamizi wa hisa?Kumfananisha CEO wa Yanga na Mwenyekiti wa Club ya Simba ni kuidharau na kuidhihaki Simba na ile asilimia 51 ambayo nawewe umo humo ndani
CEO wa uto mzinduaji wa mabandiko ya gazeti umfananishe na mwenyekit wa simba utakuwa huna akiliJapo unaharibu Uzi unaojadili mstakabali wa Timu yako badala ya kuleta hoja unaleta vihoja kisa mimi ni Mwananchi, nguvu ya CEO wa Yanga tena wa kuajiriwa huwezi kumfananisha na Mwenyekiti wa kuchaguliwa anayewakilisha maslahi ya wanachama na kusimamia hisa asilimia 51,CEO wa Yanga ni mwajiriwa anayelinda maslahi ya anayemlipa mshahara tu.
Kumfananisha CEO wa Yanga na Mwenyekiti wa Club ya Simba ni kuidharau na kuidhihaki Simba na ile asilimia 51 ambayo nawewe umo humo ndani
Ungekuwa umesoma vizuri Uzi na comments ungeelewa vizuri nani aliyeleta hiyo hoja ya kufananisha......ila kwasababu ya kukurupuka na umbux3 ndiyo maana umedandia treni Kwa mbeleCEO wa uto mzinduaji wa mabandiko ya gazeti umfananishe na mwenyekit wa simba utakuwa huna akili
Tangu atue hapo Uto kafanya jambo gani la maana? Zaidi anafugwa tu ndani kama msukule kambole