CHIZI VITABU
JF-Expert Member
- Jun 12, 2021
- 1,061
- 2,477
Yes ndiyo nimesema kwa sababu ya mechi ya utopolo, nimegundua tu kwamba mzungu wetu ni very stubborn yaani ana ka system chake fulani hakana plan b
Tusijipe ugonjwa wa moyo kwamba eti nusu fainali WE SHOULD FORGET ABOUT IT hii ngoma inaweza kufia makundi kabisa hata robo fainali tukifika tuombe ruhusa ya kuchinja tembo na nyati tufanye party ya Simba day part 2 pale Taifa kwa kweli
Yaani striker number moja kwamba GOMEZ anaamka asubuhi akiwa anakata gogo yuko na pen na karatasi anaandika ni MUGALU? Lord have mercy.... dah
Haya bana aaaaaa tusubiri tu ila kila la heri kingine kinachonitisha ni kushuka kwa morale za wachezaji hawa.. Kagere, Zimbwe na mbaya zaidi Manula