Wana simba tukiingia robo fainali CAFL mwaka huu tuchinje tembo kabisa na kufanya party kubwa

Wana simba tukiingia robo fainali CAFL mwaka huu tuchinje tembo kabisa na kufanya party kubwa

Ni kocha wa kawaida ila ameifikisha timu Robo Fainali ya Klabu bingwa Africa

Ninyi ndo wale mliodai Guardiola anatembelea nyota ya Messi ila leo hii kawaprove wrong
Robo kitu gani bwanaaaa ...alikuja Omog aliyeipa ubingwa wa kombe la shirikisho afrika AC leopards ya congo brazaville, akaaipa ubingwa simba na akafukuzwa leo yuko mtibwa , sembuse huyu mpenzi wake mugalu?
 
Makombe misimu minne mfululizo kwa Zama hizi za kisasa siyo mchezo,inahitaji akili nzuri kuweza kusimama imara la sivyo hata wachezaji wataona kila mechi kwao ni ya kawaida tu...
 
Back
Top Bottom