Robo kitu gani bwanaaaa ...alikuja Omog aliyeipa ubingwa wa kombe la shirikisho afrika AC leopards ya congo brazaville, akaaipa ubingwa simba na akafukuzwa leo yuko mtibwa , sembuse huyu mpenzi wake mugalu?
Makombe misimu minne mfululizo kwa Zama hizi za kisasa siyo mchezo,inahitaji akili nzuri kuweza kusimama imara la sivyo hata wachezaji wataona kila mechi kwao ni ya kawaida tu...