Wana Simba wafahamu wachezaji walioipeleka Simba nusu fainali ya CAF champions Kwa mara Kwanza

Wana Simba wafahamu wachezaji walioipeleka Simba nusu fainali ya CAF champions Kwa mara Kwanza

Tsyamatsy

JF-Expert Member
Joined
Sep 9, 2023
Posts
310
Reaction score
459
Ilikuwa mwaka 1974 wakati Kwa mara ya Kwanza Timu toka Tanzania kucheza nusu fainali za club bingwa nayo NI Simba SC.
Baadhi ya mashujaa wetu walikuwa;
1-Golini: Athman Mambosasa a.k.a angaza juu.
2-Shaban Baraza/ Daudi Salum a.k.a Bruce Lee
3-Mohamed Kajole aka Machela
4-Athman Juma.
5-Omar Chogo
6-Khalid Abeid
7-Willy Mwaijibe
8-Haidary Abeid aka Muchacho
9-Adam Sabi
10-Abdallah King Kibaden
11-Shaban Dilunga aka Sungura.
Safari yao kuna Timu moja toka nchi za kusini mwa Africa sijui NI Lesotho ilikula mkong'oto WA goli 5!
 
Wasilamu wote ila walikuwa wanakinukisha.
Willy Mwaijibe

Ila huo mtizamo wako wa kiitikadi za kidini, jitahidi kuubadili. Inaonekana una kautumwa ka udini kuliko Mungu.

Dini ni kifungo cha imani au mawazo, omba isiwe ile inayokupoteza. Jitahidi kumjua Mungu wa kweli muumba vyote hata nje ya hizi dini.
 
Umesafiri sana
 
Back
Top Bottom