Nadhani wachezaji wengi wa timu kubwa enzi hizo walikua ni wakazi wa jiji ambao kimsingi wengi wao ni waislamWasilamu wote ila walikuwa wanakinukisha.
Willy MwaijibeWasilamu wote ila walikuwa wanakinukisha.
Umesafiri sanaWilly Mwaijibe
Ila huo mtizamo wako wa kiitikadi za kidini, jitahidi kuubadili. Inaonekana una kautumwa ka udini kuliko Mungu.
Dini ni kifungo cha imani au mawazo, omba isiwe ile inayokupoteza. Jitahidi kumjua Mungu wa kweli muumba vyote hata nje ya hizi dini.
Angalau umeelewa utani na uono wangu.Nadhani wachezaji wengi wa timu kubwa enzi hizo walikua ni wakazi wa jiji ambao kimsingi wengi wao ni waislam
Jina Hilo lilitokana na kushindwa kuvunja rekodi yetu wenyewe na kugotea robo fainali Kwa miaka hii 6 mfululizoSasa lile jina la mwakarobo lilitokea wapi
Sasa kihistoria si tulishawahi kufika fainali mkuuJina Hilo lilitokana na kushindwa kuvunja rekodi yetu wenyewe na kugotea robo fainali Kwa miaka hii 6 mfululizo
Simba ni miongoni mwa club bora barani Africa.
Najivuna kwa mwanasimba.