Mad Max
JF-Expert Member
- Oct 21, 2010
- 26,961
- 77,890
Nna swali kidogo.
Kwa mwaka huu mfano 2024, ukawa una Million 1 tu ya kutumia kununua simu.
Ni bora kununua hizi simu za uwezo wa kati (mid-rangers) mfano Samsung Galaxy A55 mpya kabisa…
au ni bora kwa gharama iyo iyo ukanunua flagship (high performance smartphone) ila used ya miaka miwili au mitatu iliopita mfano Galaxy S22?
Vitu vya kuzingatia:
Kwa mwaka huu mfano 2024, ukawa una Million 1 tu ya kutumia kununua simu.
Ni bora kununua hizi simu za uwezo wa kati (mid-rangers) mfano Samsung Galaxy A55 mpya kabisa…
Vitu vya kuzingatia:
- Camera
- Battery/Charge
- Performance
- Updates
- Quality