Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nanunua dukani ili jumba bovu likitokea awepo wa kumdondosheaSema uwe makini, usinunue kwa mtu.
Tv??😀Kwa Zahoro Matelephone… Galaxy S24 laki 7 na ukinunua anakupatia TV bure.
Ni kitambo sijanunia simu, kwahiyo buying experience imebadirika esp issue ya kuuziwa simu ya wizi, na iliobambikiwa spare ambayo baada ya muda mfupi inaanza kusumbua.Inategemea priority yako ni nini. Kama ni performance na camera basi flagship ya 2 years back ni option nzuri. Ila kama priority ni kukaa na chaji basi mid range zitafaa zaidi. Changamoto kwenye hizi flagships zilizotumika ni kupata ambayo iko kwenye condition nzuri. Matapeli nao ni wengi. Binafsi tangu 2020 natumia old flagships na hazinisumbui. Sitaki kabisa kusikia habari za A series.
Yaani hakuna muuzaji mkweli. Utabahatisha wewe itakua nzima nikienda mimi majanga.Ishu bongo ujanjaujanja mwingi utapewa simu inaoverheat , battery haikai kuwa makini na izo used hasa ukizingatia simu wengi tunatumia 4+ years ndo kuabdili chukua mid-range kwenye official stores
Hv huwa sielewi zile simu zake anatoa wapi? Ufafanuzi mkuu..Kwa Zahoro Matelephone… Galaxy S24 laki 7 na ukinunua anakupatia TV bure.
Dubai anasema. Unashangaa S22 shangaa S24 plus, kwa 850k.Hv huwa sielewi zile simu zake anatoa wapi? Ufafanuzi mkuu..
Niliona tangazo s22 700k plus tv aliyon kama zawadi
Duuh! Nilikuwa nampango wa kwenda hapo moyo ukawa unasita.Dubai anasema. Unashangaa S22 shangaa S24 plus, kwa 850k.
Nawajua watu wawili wamenunua kwake.
Mmoja Note 20 mwingine S10+
Wa Note 20 ilienda Fresh.
Wa S10+ after week ikaanza majanga, akaenda akawasha moto wakambadirishia zaidi ya siku 3 ya tatu ndio anayo mwaka wa pili.
Used ni pata potea.
Serikali imchukulie hatua huo ni utapeli wa wazi..Wacha usite tu mkuu. Ila anatamanisha sana. S21 Ultra alikua anauza bei ndogo sana dah.
Jichanganye sasa
Kuna jamaa wanajiita phonepoint wapo mtaa wa samora,used zao kidogo uhakika sio kama used za aggreyIshu bongo ujanjaujanja mwingi utapewa simu inaoverheat , battery haikai kuwa makini na izo used hasa ukizingatia simu wengi tunatumia 4+ years ndo kuabdili chukua mid-range kwenye official stores