Nna swali kidogo.
Kwa mwaka huu mfano 2024, ukawa una Million 1 tu ya kutumia kununua simu.
Ni bora kununua hizi simu za uwezo wa kati (mid-rangers) mfano Samsung Galaxy A55 mpya kabisa…
View attachment 3120344au ni bora kwa gharama iyo iyo ukanunua flagship (high performance smartphone) ila used ya miaka miwili au mitatu iliopita mfano Galaxy S22?
View attachment 3120345
Vitu vya kuzingatia:
- Camera
- Battery/Charge
- Performance
- Updates
- Quality
Flagship - jack of all trade
Midrange - chagua premium all arounder ama perfomance.
Kuna mambo kadhaa kwanza uyafahamu mkuu,
1. Flagship za 2021 na 2022 nyingi hazina issue sababu processor zake hazikua nzuri kutokana na kuwa manufactured vibaya na Arm wenyewe kutoa Core ambazo sio nzuri. Flagship nzuri ni za kuanzia 2023 na 2024 hivyo unless you can afford Simu za 2023 kama S23 ushauri go with midrange.
2. Midrange za sasa zinazo focus kwenye perfomance zina nguvu kushinda flagship zote za 2022 kushuka, processor kama dimensity 8300, snapdragon 7+ gen 3 na 8s gen 3 zina nguvu sana.
3. Kama unataka premium all arounder sacrifice perfomance kidogo ili upate simu inayokaa na chaji, camera na mambo mengine mazuri.
Mfano mzuri simu uliotaja hio A55 Japo perfomance sio kubwa ila vitu kama Display, camera, ukaaji chaji etc upo vizuri.
Pia simu nyengine kali ambayo kwetu inapatikana ni Vivo V30 same price point na A55 ila inakaa na chaji zaidi, fast charging na camera nzuri. Haina sd card lakini kama A55.