Unaweza kujikuta unanunua simu kwa gharama kubwa eti sababu ya camera tu.Nna swali kidogo.
Kwa mwaka huu mfano 2024, ukawa una Million 1 tu ya kutumia kununua simu.
Ni bora kununua hizi simu za uwezo wa kati (mid-rangers) mfano Samsung Galaxy A55 mpya kabisa…View attachment 3120344au ni bora kwa gharama iyo iyo ukanunua flagship (high performance smartphone) ila used ya miaka miwili au mitatu iliopita mfano Galaxy S22?
View attachment 3120345
Vitu vya kuzingatia:
- Camera
- Battery/Charge
- Performance
- Updates
- Quality
Kwani umeshapata mshahara wako 😂😂😂Nna swali kidogo.
Kwa mwaka huu mfano 2024, ukawa una Million 1 tu ya kutumia kununua simu.
Ni bora kununua hizi simu za uwezo wa kati (mid-rangers) mfano Samsung Galaxy A55 mpya kabisa…View attachment 3120344au ni bora kwa gharama iyo iyo ukanunua flagship (high performance smartphone) ila used ya miaka miwili au mitatu iliopita mfano Galaxy S22?
View attachment 3120345
Vitu vya kuzingatia:
- Camera
- Battery/Charge
- Performance
- Updates
- Quality
HahahahaKwani umeshapata mshahara wako 😂😂😂
Kuna haja gani ya kutafuta hela kama hauwezi hata kutunza memories za matumizi yake kwa camera ya kiwango cha juu!!?Unaweza kujikuta unanunua simu kwa gharama kubwa eti sababu ya camera tu.
Wakati hizo picha unazopiga wala hazikuingizii kitu chochote na huziuzi. Zaidi ya kujaza Gallary
Sawa endelea kutafuta hela kwa ajiri ya simuKuna haja gani ya kutafuta hela kama hauwezi hata kutunza memories za matumizi yake kwa camera ya kiwango cha juu!!?
Hoja yangu, usiwaze tu kutafuta hela pekee. Tafuta pia namna nzuri ya ku-make the most out of that money unayoitafuta ikiwemo kutunza memories nzuri zenye HD.Sawa endelea kutafuta hela kwa ajiri ya simu
SureHoja yangu, usiwaze tu kutafuta hela pekee. Tafuta pia namna nzuri ya ku-make the most out of that money unayoitafuta ikiwemo kutunza memories nzuri zenye HD.
WhyMimi ni mfuasi mkubwa wa simu used
Basi tu ujanja ujanja mwingi naona ninachokipata kwenye kitu used ndo hicho hicho
Duh! Hii comment inachekesha, maisha yanavipengele vingi, tunapozungumzia maisha mazuri ni kupata pesa na kuitumia kwa yale uyapendayo, sasa kama kazi yako ni kuuza tu uta enjoy kaburini?Unaweza kujikuta unanunua simu kwa gharama kubwa eti sababu ya camera tu.
Wakati hizo picha unazopiga wala hazikuingizii kitu chochote na huziuzi. Zaidi ya kujaza Gallary