Wana Teknolojia nina Swali: Bora kununua mid-ranger smartphone mpya au flagship used ya miaka 2 iliopita?

Hahahaha

Tarehe zetu bado.

Kuna project wamenichagua kua ndio narecord video za YT, na social media.

Wameona mi ndio Techwiz.

Tatizo wanataka kununua camera sasa mi sioni haja ya kununua camera kubwa.

Kwenye hiyo project yenu hamtohitaji picha na videos za juu kwa kutumia Drone? Kama mtahitaji i can supply the best drone at an affordable price
 
Flagship - jack of all trade
Midrange - chagua premium all arounder ama perfomance.

Kuna mambo kadhaa kwanza uyafahamu mkuu,
1. Flagship za 2021 na 2022 nyingi hazina issue sababu processor zake hazikua nzuri kutokana na kuwa manufactured vibaya na Arm wenyewe kutoa Core ambazo sio nzuri. Flagship nzuri ni za kuanzia 2023 na 2024 hivyo unless you can afford Simu za 2023 kama S23 ushauri go with midrange.

2. Midrange za sasa zinazo focus kwenye perfomance zina nguvu kushinda flagship zote za 2022 kushuka, processor kama dimensity 8300, snapdragon 7+ gen 3 na 8s gen 3 zina nguvu sana.

3. Kama unataka premium all arounder sacrifice perfomance kidogo ili upate simu inayokaa na chaji, camera na mambo mengine mazuri.

Mfano mzuri simu uliotaja hio A55 Japo perfomance sio kubwa ila vitu kama Display, camera, ukaaji chaji etc upo vizuri.

Pia simu nyengine kali ambayo kwetu inapatikana ni Vivo V30 same price point na A55 ila inakaa na chaji zaidi, fast charging na camera nzuri. Haina sd card lakini kama A55.
 
Nenda Kanunue Mid range Phone.
Xiaomi Redmi Note 13 series au Note 14 series. Na zina performance nzuri.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…