Wana Yanga hatuna haja ya kogopa Club African, walishawahi kupigwa nane bila na TP Mazembe

Wana Yanga hatuna haja ya kogopa Club African, walishawahi kupigwa nane bila na TP Mazembe

Expensive life

JF-Expert Member
Joined
May 2, 2020
Posts
2,971
Reaction score
9,437
Nashangaa watu wanapotutisha hawa Waarabu koko ni wepesi tu kama tukijipanga vizuri hawatoki.

6FF158F0-A4ED-452C-BD1D-EA6D522B8A6F.jpeg
 
WACHEZAJI WENYE THAMANI
WA CLUB AFRICAIN

1. LARRY AZOUNI
Nafasi: Kiungo Mshmbuliaji
Thamani: 1.6B Tsh
Jezi: Namba 8
Miaka: 28
Aliwahi kucheza Marseille, Lorient, Nimes zote za Ufaransa pamoja KV Kortrijk FC ya Ubelgiji

2. AHMEDI KHALIL
Nafasi: Kiungo Mkabaji
Thamani: 1.3B tsh
Jezi: Namba 5
Miaka: 27

3.NADER GHANDRI
Nafasi: Beki wa Kati
Thamani: 1B Tsh
Jezi: Namba 6
Miaka: 27

4.SKANDER LABIDI
Nafasi: Mlinzi wa Kati
Thamani: 900M Tsh
Jezi: Namba 3
Miaka: 29

5. NOUREDDINE FARHATI
Nafasi:Mlinda Mlango
Thamani: 900M Tsh
Jezi: Namba 1
Miaka: 22

NB: Thamani ya mchezaji namba moja wa Club
Africain ni sawa kununua akina Aziz Ki sita

Tuna Wachezaji wa Gharamaaa
 
Hiyo game ilikua 2nd leg baada ya kufanyiwa figisu za kutosha Tunisia kwenye 1st leg nao Mazembe wakaamua game lipigwe saa nane mchana pale DRC. Muarabu akaloa, so kama mnaweza kopini.
 
Dah utopolo mnaweweseka sana aisee. Nyie tulieni dawa iwaingie taratibu. Tar 2 na 9 tutapata majibu acheni kutapatapa.
 
Matokeo ya mwaka 2019 sio ya 2021 kikubwa Yanga ijiandae vyema..miaka 3 kwa timu ni mingi sana kwenye kubadirika...
 
Dah utopolo mnaweweseka sana aisee. Nyie tulieni dawa iwaingie taratibu. Tar 2 na 9 tutapata majibu acheni kutapatapa.
Hapana umewapeleka mbali sana, waache kwanza tuwalainishe tarehe 23 ili jamaa wakija wawamalize kiulani na washike adabu ya kukurupuka na makelele ya mitandaoni na midomoni iwakae sawa
 
Back
Top Bottom