Wana Yanga hatuna haja ya kogopa Club African, walishawahi kupigwa nane bila na TP Mazembe

Wana Yanga hatuna haja ya kogopa Club African, walishawahi kupigwa nane bila na TP Mazembe

Hyo tp mazembe iliyompiga nane sio hii fuatilia meshack elia na Jackson muleka ndo utaelewa hyo tp mazembe ilikuwa yamoto
 
Hey maipipo njooni tusemezane kidogo kwenye huu uzi wetu

Ile hope ya kuwapiga Club Africain kwa Mkapa kwasababu ipo rekodi inayoonesha walipigwa 8-0 na Mazembe tuiendeleze hadi 2nd leg?
 
Back
Top Bottom