Wana Yanga hatuna haja ya kogopa Club African, walishawahi kupigwa nane bila na TP Mazembe

Wana Yanga hatuna haja ya kogopa Club African, walishawahi kupigwa nane bila na TP Mazembe

Kwavile mazembe alimfunga 8 kwahiyo na nyie mnajilinganisha na mazembe,,, kweli vyura miko nyuma inawachoma sawasawa akili zenu matope matope tu
Uto hawanaga akili, ni kama vile walivoona TP Mazembe B kaipiga Al Hilal goal moja sijui tatu mechi ya kirafiki wakasema lazima afe apigwe kama ngoma na wafuzu makundi ila yaliyowakuta wanayajua

Sent from my LM-Q730 using JamiiForums mobile app
 
Kaeni kwa kutulia sisi ndio yanga tutawashangaza.
Hatutashangaa maana tushawazoea, ongeeni, ila mwisho mtasema japo wametufunga ila mpira tumemiliki, hapo tukutane msimu ujao champions league ili mcheze raund zenu za awali mlizozoea
 
Nashangaa watu wanapotutisha hawa Waarabu koko ni wepesi tu kama tukijipanga vizuri hawatoki.

View attachment 2391524
Yanga kuifunga hii timu mwisho ni goli 4 tu. Hapo tena itakuwa labda 4-1 yaan GG, ila mkifika kule Tunis hii utopolo ya Joyce Lomalisa, Kibwana shomari, Mwamnyeto Job...na huyu shabani J, aisee lzm mpigwe zikipungua sanaa 6
 
mh kwahyo yanga mnajilinganisha na mazembe dah
mmefikia kulinganisha mbingu na ardhi[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kwavile mazembe alimfunga 8 kwahiyo na nyie mnajilinganisha na mazembe,,, kweli vyura miko nyuma inawachoma sawasawa akili zenu matope matope tu
Akili za kiduwanzi hizo. Muulize ilikuwa lini na Mazembe ipi. Uto wanapenda sana kuishi kwa historia
 
Nashangaa watu wanapotutisha hawa Waarabu koko ni wepesi tu kama tukijipanga vizuri hawatoki.

View attachment 2391524
Hizo 8 hawakuweza kuzifikisha kwa Kipanga ili kufidia deni la Mazembe. Nadhani sasa wamepata pahala sahihi pa kuutua mzigo wa Mazembe. Utopolo mna la kujibu hapo kaeni mkao wa kula na hao mabeki wenu wazembe
 
Hiyo game ilikua 2nd leg baada ya kufanyiwa figisu za kutosha Tunisia kwenye 1st leg nao Mazembe wakaamua game lipigwe saa nane mchana pale DRC. Muarabu akaloa, so kama mnaweza kopini.
Sio ilikuwa group stage? rejea kumbukumbu zako vizuri
 
Kwavile mazembe alimfunga 8 kwahiyo na nyie mnajilinganisha na mazembe, kweli vyura miko nyuma inawachoma sawasawa akili zenu matope matope tu
Walijlinganisha na Vipers baada ya kuwafunga TP Mazembe....na wao wakajiona eti wataingia Group stage ya CAF...Kilichowakuta Mola ndo anajua
 
Yaani huyo mwarabu atapigika kama kibaka. Yanga ni timu kubwa kuliko zote Africa.
 
Back
Top Bottom