Ng'wanamangilingili
JF-Expert Member
- Aug 22, 2015
- 5,778
- 4,859
Uto hawanaga akili, ni kama vile walivoona TP Mazembe B kaipiga Al Hilal goal moja sijui tatu mechi ya kirafiki wakasema lazima afe apigwe kama ngoma na wafuzu makundi ila yaliyowakuta wanayajuaKwavile mazembe alimfunga 8 kwahiyo na nyie mnajilinganisha na mazembe,,, kweli vyura miko nyuma inawachoma sawasawa akili zenu matope matope tu
Hatutashangaa maana tushawazoea, ongeeni, ila mwisho mtasema japo wametufunga ila mpira tumemiliki, hapo tukutane msimu ujao champions league ili mcheze raund zenu za awali mlizozoeaKaeni kwa kutulia sisi ndio yanga tutawashangaza.
Yanga kuifunga hii timu mwisho ni goli 4 tu. Hapo tena itakuwa labda 4-1 yaan GG, ila mkifika kule Tunis hii utopolo ya Joyce Lomalisa, Kibwana shomari, Mwamnyeto Job...na huyu shabani J, aisee lzm mpigwe zikipungua sanaa 6Nashangaa watu wanapotutisha hawa Waarabu koko ni wepesi tu kama tukijipanga vizuri hawatoki.
View attachment 2391524
Kwa hiyo Yanga ni TP Mazembe!?huu uboya sanaNashangaa watu wanapotutisha hawa Waarabu koko ni wepesi tu kama tukijipanga vizuri hawatoki.
View attachment 2391524
kama mlivotushangaza sudaniKaeni kwa kutulia sisi ndio yanga tutawashangaza.
Akili za kiduwanzi hizo. Muulize ilikuwa lini na Mazembe ipi. Uto wanapenda sana kuishi kwa historiaKwavile mazembe alimfunga 8 kwahiyo na nyie mnajilinganisha na mazembe,,, kweli vyura miko nyuma inawachoma sawasawa akili zenu matope matope tu
Hizo 8 hawakuweza kuzifikisha kwa Kipanga ili kufidia deni la Mazembe. Nadhani sasa wamepata pahala sahihi pa kuutua mzigo wa Mazembe. Utopolo mna la kujibu hapo kaeni mkao wa kula na hao mabeki wenu wazembeNashangaa watu wanapotutisha hawa Waarabu koko ni wepesi tu kama tukijipanga vizuri hawatoki.
View attachment 2391524
Tena Mazembe ya kina Mputu, Muleka na SamataKwa hiyo yanga ni sawa na mazembe?
tena kama tulivyowashangaza kwa ZalanKaeni kwa kutulia sisi ndio yanga tutawashangaza.
Mlisha sema hivyo hivyo kwa al hilalNashangaa watu wanapotutisha hawa Waarabu koko ni wepesi tu kama tukijipanga vizuri hawatoki.
View attachment 2391524
Sio ilikuwa group stage? rejea kumbukumbu zako vizuriHiyo game ilikua 2nd leg baada ya kufanyiwa figisu za kutosha Tunisia kwenye 1st leg nao Mazembe wakaamua game lipigwe saa nane mchana pale DRC. Muarabu akaloa, so kama mnaweza kopini.
Ushabiki Kaz sana jamani nyie acheniNashangaa watu wanapotutisha hawa Waarabu koko ni wepesi tu kama tukijipanga vizuri hawatoki.
View attachment 2391524
Walijlinganisha na Vipers baada ya kuwafunga TP Mazembe....na wao wakajiona eti wataingia Group stage ya CAF...Kilichowakuta Mola ndo anajuaKwavile mazembe alimfunga 8 kwahiyo na nyie mnajilinganisha na mazembe, kweli vyura miko nyuma inawachoma sawasawa akili zenu matope matope tu
Utopolo utopolo tu,π π π π π πWalijlinganisha na Vipers baada ya kuwafunga TP Mazembe....na wao wakajiona eti wataingia Group stage ya CAF...Kilichowakuta Mola ndo anajua
Sasa mazembe na nyie ni level sawa.Acha hizo day dreaming.Nashangaa watu wanapotutisha hawa Waarabu koko ni wepesi tu kama tukijipanga vizuri hawatoki.
View attachment 2391524
πππ Hata kama lakn kwa yanga ni vidudu kwaoHalafu TP Mazembe ya 2019 ilikuwa tishio kweli kweli si kama hii ya sasa!!