Wana Yanga hebu nunueni tiketi za mchezo wa Al Hilal

Tff waliposema gamond akilipwa pesa yake wanakata juu kwa juu milioni 2 yao ya faini waliyompiga gamondi walikuwa wanamaanisha hela gani?
Tff hawakusema kuwa watamkata gamondi juu kwa juu masna hawana contact na mshahara wa gamondi bali watakata yanga juu kwa juu,kwani fedha za klabu zote za ligi kuu zinapita tff
 
that is the fact,the only money that a person will have to be paid is there is any arreas,in his payment but he had been paid fully on the termination of the contract on mutual agreement,the coach is not liable to be paid anything more than the travel cost and allowances
 
Your English doesn't change a thing

Still clueless
 
Huu ni msimu wa 3 sijawahi kukosa mechi yoyote ya Yanga ya kimataifa hapa nyumbani ila hii sitoenda, uamuzi wa kumfuta kazi Gamondi umenikera sana.

Timu ikishinda sawa, isiposhinda sawa pia.
Dada hamia huku update Amani
 
Tena mimi nataka tupoteze sasa, viongozi wajifunze kufanya maamuzi kwa busara.

Hersi sifa zimempanda kichwani, bado sioni kosa la kuondolewa Gamondi.
Mimi ni mnyama, lakini tendo la Kumtimua Gamondi si kizuri..
Ombeni Ramovic ashinde, la sivyo Yanga muda si Mrefu tutamsikia kocha kuwa wachezaji hawafundishiki, Kama yale yale ya BENCHIKA, tusubiri wakati utaongea
 
Hapana hilo yanga halitatokea
 
Tff hawakusema kuwa watamkata gamondi juu kwa juu masna hawana contact na mshahara wa gamondi bali watakata yanga juu kwa juu,kwani fedha za klabu zote za ligi kuu zinapita tff
Naomba kuuliza wewe ni chizi kweli au unajifanya chizi?
 
Tena mimi nataka tupoteze sasa, viongozi wajifunze kufanya maamuzi kwa busara.

Hersi sifa zimempanda kichwani, bado sioni kosa la kuondolewa Gamondi.
Mbona unaongea kama namjua sana Hersi?unajua sababu za kuondoka Gamondi?
Na kabla Gamond hajaja Yanga ulikuwa unamjua?
 
Huu ni msimu wa 3 sijawahi kukosa mechi yoyote ya Yanga ya kimataifa hapa nyumbani ila hii sitoenda, uamuzi wa kumfuta kazi Gamondi umenikera sana.

Timu ikishinda sawa, isiposhinda sawa pia.
Unampenda mtu kulikon Timu?
 
Nimemsikia akisema siku 6 hazitoshi kwa kocha yeyote yule duniani.

Lakini hilo sijui kama wanajali waajiri wake. Sidhani kama wana huo uvumilivu wa kupoteza mechi mbili na bado wakaendelea kubaki na kocha.
Mpira wa sasa una chanamoto sana, unaweza kuwa na kikosi bora, kocha bora lakini msisahau kuna kubeti pia. Hii kamari inachangia sana kwenye kuharibu soka letu.
 
Huu ni msimu wa 3 sijawahi kukosa mechi yoyote ya Yanga ya kimataifa hapa nyumbani ila hii sitoenda, uamuzi wa kumfuta kazi Gamondi umenikera sana.

Timu ikishinda sawa, isiposhinda sawa pia.
Unajipa umuhimu usiokuwa nao
 
Back
Top Bottom