Wana Yanga mnishukuru sana mimi sio kama yule boss wa kinotibuku

Wana Yanga mnishukuru sana mimi sio kama yule boss wa kinotibuku

Ponjoro wa Kinondoni

JF-Expert Member
Joined
Jan 5, 2024
Posts
3,771
Reaction score
10,311
Yule boss wao kauziwa timu bilioni 20, badae akasema hatoi hiyo hela ila atanunua bonds za BOT na faida atakuwa anawapa, sahivi anasema alitumia bilioni 87 kununua boxer za kuvaa, mchicha na vitumbua kwaajili ya wachezaji.

Sasa wenzenu wanadaiwa B 87 mimi siwadai wananchi hata 100 na nawaongeza mabilioni miaka 3 ijayo. Tembeeni kifua mbele.
 
Malizeni kwanza kampeni za ccm..... Bado Michango inawasubili .....
ngoja raisi wenu arudi aanze kuwahamasisha Michango ya tofali
 
Back
Top Bottom