SAGAI GALGANO
JF-Expert Member
- Nov 13, 2009
- 47,706
- 69,281
Weka hiyo slip tumalize ubishiWe mkia alikuambia bumbuli hana mil 5 nani?hela ishalipwa kitambo mbona au unataka tukuwekee na slip?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Weka hiyo slip tumalize ubishiWe mkia alikuambia bumbuli hana mil 5 nani?hela ishalipwa kitambo mbona au unataka tukuwekee na slip?
Bumbuli angekua wa muhimu pale Yanga angeshalipiwa.
Siku zote viluilui wakiwa kwenye dimbwi la matope wanarundikana pamoja na kuwa na mshikamano wa kuchezea tope, mmoja akipatwa na tatizo tu.....wengine wote wanakimbila kutoka ndani ya maji kuja nje kutafuta maji mengine, matokeo yake wanakwama mchangani na kukauka na jua kwa kukosa maji na hivi ndivyo viluilui wa Jangwani walivyo. Kelele nyingi mtandaoni ila wakipatwa na tatizo wao ni kulia tu lakini kuchangiana kwa jambo la maana hawataki.Naomba ateuliwe Mwanachama Mmoja hapa na awe ni mwana Yanga SC Mwenzetu kabisa kama nilivyo Mimi GENTAMYCINE ili tuweze kufanya 'Mobilization' ya 'Michango' hadi ipatikane Tsh Milioni Tano na 'tumkabidhi' Msemaji wetu Hassan Bumbuli ambaye Klabu yetu ya Yanga na hadi 'Wadhamini' wetu GSM chini yake Injinia Hersi ni kama 'wamemtosa' vile na Yeye Bumbuli nae hana hata Pesa.
Wanayanga Wenzangu hebu tufuteni 'Aibu' hii haiwezekani Msemaji wa Simba SC Haji Manara Yeye ameweze Kulipa 'Faini' yake ya Tsh Milioni Tano tena zote akizitoa katika Mfuko wake ( hajasaidiwa na Klabu yake ya Simba SC ) halafu Sisi wanayanga ambao tunajua kabisa kuwa Msemaji wetu Hassan Bumbuli ni 'Choka Mbaya' mno tunamuacha tu hivi hivi.
Inauma sana wanayanga Wenzangu na sijui ni kwanini Simba SC huwa 'inatushinda' kwa kila Jambo. au Yanga SC nayo iwe ndani ya Simba SC?
Laki si pesa na huna mchongo hata wa jero.alipe milioni 5 za nini aendelee kupiga kazi kama kawaida TFF ni wapuuzi
Yanga wanadai pesa ya Tambwe, Dante zote hawajalipa halafu utegemee wamlipie bumbuli sahau hiyo kituSitaki kuamini kuwa ni kweli hiyo faini haijalipwa TFF na yeye mwenyewe Bumbuli au klabu yake. Kiukweli kama yeye hakuwa na uwezo wa kulipa ilipaswa waajiri wake Yanga wamlipie. Iwapo waajiri wake hawajalipa basi ni kwamba hawamtaki kwa hiyo Bumbuli akatafute shughuli nyingine sasa. Kwa upande mwingine nitamlaumu sana Bumbuli iwapo alikosa pesa ya kulipa faini halafu akakaa kimya wakati Yanga ina mashabiki mamilioni ni kiasi tu cha kuondoa aibu na kuwaambia ukweli kuwa hana milioni 5 za faini na zingechangwa ndani ya dakika kumi tu kupitia mitandaoni.
Hiyo ni pesa ya kawaida kwa mwajiriwa wa Yanga, Simba kuanzia mpate bwana wa kihindi mjini mnatembea vidole juu mkiwaza kulipiwa tu.Bumbuli angekua wa muhimu pale Yanga angeshalipiwa.
Na Yanga toka mumpate bwana mwarabu koko mnatembea makalio juu mkiwaza kuingiliwa tuHiyo ni pesa ya kawaida kwa mwajiriwa wa Yanga, Simba kuanzia mpate bwana wa kihindi mjini mnatembea vidole juu mkiwaza kulipiwa tu.
Wamekaa utafikiri wanajiandaa kwa kipimo kipya cha coronaNa Yanga toka mumpate bwana mwarabu koko mnatembea makalio juu mkiwaza kuingiliwa tuView attachment 1689855