Wana Yanga SC tusikubali Usajili wa hawa akina Kisinda, Sarpong na Tonombe; ni mbovu. Tuandamaneni ili akina Yikpe, Molinga na Tshishimbi warudi

Bwana Mungalu hapendi ujinga ujinga! Ujanja Wa kizamani zamani hauna nafasi tena shwain!
 
Bwana Mungalu hapendi ujinga ujinga! Ujanja Wa kizamani zamani hauna nafasi tena shwain!View attachment 1557431
πš—πšŠπš˜πš—πšŠ πš£πš’πš•πšŽ 4𝙢 πš‹πšŠπšπš˜ πš£πš’πš—πšŠπš”πšžπš™πšŠ πš πšŽπš—πšπšŽ
 
Wengine wameona shikamoo hazitoki kwa wakati wameamua kuwagonga makofi benchi la ufundi,mana nalo linapaswa kutoa shikamoo kila asubuhi
𝚠𝚎 πšžπšπš˜πš™πš˜πš•πš˜ π™Ίπš πšŠπš— πšžπš—πšŠπšπšŽπšœπšŽπš”πšŠ
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…