Wana Yanga SC tusikubali Usajili wa hawa akina Kisinda, Sarpong na Tonombe; ni mbovu. Tuandamaneni ili akina Yikpe, Molinga na Tshishimbi warudi

Wana Yanga SC tusikubali Usajili wa hawa akina Kisinda, Sarpong na Tonombe; ni mbovu. Tuandamaneni ili akina Yikpe, Molinga na Tshishimbi warudi

Bwana Mungalu hapendi ujinga ujinga! Ujanja Wa kizamani zamani hauna nafasi tena shwain!
IMG-20200903-WA0054.jpg
 
Wengine wameona shikamoo hazitoki kwa wakati wameamua kuwagonga makofi benchi la ufundi,mana nalo linapaswa kutoa shikamoo kila asubuhi
𝚠𝚎 𝚞𝚝𝚘𝚙𝚘𝚕𝚘 𝙺𝚠𝚊𝚗 𝚞𝚗𝚊𝚝𝚎𝚜𝚎𝚔𝚊
 
Nikiwa kama mwana Yanga SC tena Mwanachama wake kabisa GENTAMYCINE mapema kabisa kabla hata 'Dirisha' la Usajili halijafungwa Usiku wa leo nakuwa wa Kwanza kabisa Kupinga 'Usajili' huu 'Mbovu' kabisa wa hawa Wachezaji akina Kisinda, Sarpong na Tonombe badala yake nataka akina Yikpe, Molinga na Tshishimbi 'warejeshwe' Kikosini upesi sana tu.

Endapo tu Uongozi wa Yanga SC hautanisikiliza Mimi GENTAMYCINE basi huenda leo hii hii nikajiunga rasmi kuwa Mshabiki wa Simba SC iliyo bora.
😂😂😂
 
Back
Top Bottom