Wana Yanga SC Wenzangu napendekeza Uongozi wetu uachane na akina Aucho, Bangala na Kipa Diara kwani hawatufai na hawana jipya

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
60,660
Reaction score
121,325
Nashauri wana Yanga SC Wenzangu hapa JamiiForums na Uongozi wa Yanga SC hadi Matajiri wetu GSM kuwa tuachaneni na hawa Wachezaji Aucho, Bangala na Kipa Diara kisha tuwavizie Wachezaji ambao Simba SC inaenda kuwaacha akina Nyoni, Wawa na Mugalu kwani kwa Yanga SC hii yetu iliyokosa Ubingwa miaka Minne na inayoota Kuupata bila Mafanikio kwa Msimu huu hawa watatufaa mno tu.
 
Genta kweli wewe ni popoma sugu

Sent from my Infinix X627 using JamiiForums mobile app
 
Nashauri wana Yanga SC Wenzangu hapa JamiiForums na Uongozi wa Yanga SC hadi Matajiri wetu GSM kuwa tuachaneni na hawa Wachezaji Aucho, Bangala na Kipa Diara kisha tuwavizie Wachezaji ambao Simba SC inaenda kuwaacha akina Nyoni, Wawa na Mugalu kwani kwa Yanga SC hii yetu iliyokosa Ubingwa miaka Minne na inayoota Kuupata bila Mafanikio kwa Msimu huu hawa watatufaa mno tu.
 
Nashauri wana Yanga SC Wenzangu hapa JamiiForums na Uongozi wa Yanga SC hadi Matajiri wetu GSM kuwa tuachaneni na hawa Wachezaji Aucho, Bangala na Kipa Diara kisha tuwavizie Wachezaji ambao Simba SC inaenda kuwaacha akina Nyoni, Wawa na Mugalu kwani kwa Yanga SC hii yetu iliyokosa Ubingwa miaka Minne na inayoota Kuupata bila Mafanikio kwa Msimu huu hawa watatufaa mno tu.
Tumekusikia.
Tunafanyia kazi ushauri wako
 
Nashauri wana Yanga SC Wenzangu hapa JamiiForums na Uongozi wa Yanga SC hadi Matajiri wetu GSM kuwa tuachaneni na hawa Wachezaji Aucho, Bangala na Kipa Diara kisha tuwavizie Wachezaji ambao Simba SC inaenda kuwaacha akina Nyoni, Wawa na Mugalu kwani kwa Yanga SC hii yetu iliyokosa Ubingwa miaka Minne na inayoota Kuupata bila Mafanikio kwa Msimu huu hawa watatufaa mno tu.
Vp chanjo inafanya kaziiii.
Vp wagonjwa wote wamepona kwa siku moja. Waliumwa siku ya mechi wakapona baada ya kuahirishwa[emoji1787][emoji1787]
 
Nashauri wana Yanga SC Wenzangu hapa JamiiForums na Uongozi wa Yanga SC hadi Matajiri wetu GSM kuwa tuachaneni na hawa Wachezaji Aucho, Bangala na Kipa Diara kisha tuwavizie Wachezaji ambao Simba SC inaenda kuwaacha akina Nyoni, Wawa na Mugalu kwani kwa Yanga SC hii yetu iliyokosa Ubingwa miaka Minne na inayoota Kuupata bila Mafanikio kwa Msimu huu hawa watatufaa mno tu.
GENTAMYCINE kwanzia lini wewe ni Yanga?

Simba lialia ngoja niweke hapa supporting documents
 
Nashauri wana Yanga SC Wenzangu hapa JamiiForums na Uongozi wa Yanga SC hadi Matajiri wetu GSM kuwa tuachaneni na hawa Wachezaji Aucho, Bangala na Kipa Diara kisha tuwavizie Wachezaji ambao Simba SC inaenda kuwaacha akina Nyoni, Wawa na Mugalu kwani kwa Yanga SC hii yetu iliyokosa Ubingwa miaka Minne na inayoota Kuupata bila Mafanikio kwa Msimu huu hawa watatufaa mno tu.
Mnapata tabu na maveteran wenu, vip mshapona mafua?
 
Nashauri wana Yanga SC Wenzangu hapa JamiiForums na Uongozi wa Yanga SC hadi Matajiri wetu GSM kuwa tuachaneni na hawa Wachezaji Aucho, Bangala na Kipa Diara kisha tuwavizie Wachezaji ambao Simba SC inaenda kuwaacha akina Nyoni, Wawa na Mugalu kwani kwa Yanga SC hii yetu iliyokosa Ubingwa miaka Minne na inayoota Kuupata bila Mafanikio kwa Msimu huu hawa watatufaa mno tu.
🤣🤣🤣🤣Cha Arusha ukikivutia chooni uwa kina madhara makubwa sana watu watashangaaa unaanza kuokota makopo wakifikili labda umerogwa kumbe misokoto imekupelekea moto🤣🤣🤣
 
We jamaa unafurahishaga sana! Nilikuwa sina mpango wa kucheka!
Nikiwafurahisha nyie hapa na Kuchangamka huwa nafurahi japo kuna muda huwa naamua tu Kuwazingua na Kutafuta Mabishano ili Siku ipite na siyo muda Wote tunakuwa 'siriasi' pekee.
 
Back
Top Bottom