GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Genta kweli wewe ni popoma suguNashauri wana Yanga SC Wenzangu hapa JamiiForums na Uongozi wa Yanga SC hadi Matajiri wetu GSM kuwa tuachaneni na hawa Wachezaji Aucho, Bangala na Kipa Diara kisha tuwavizie Wachezaji ambao Simba SC inaenda kuwaacha akina Nyoni, Wawa na Mugalu kwani kwa Yanga SC hii yetu iliyokosa Ubingwa miaka Minne na inayoota Kuupata bila Mafanikio kwa Msimu huu hawa watatufaa mno tu.
Nashauri wana Yanga SC Wenzangu hapa JamiiForums na Uongozi wa Yanga SC hadi Matajiri wetu GSM kuwa tuachaneni na hawa Wachezaji Aucho, Bangala na Kipa Diara kisha tuwavizie Wachezaji ambao Simba SC inaenda kuwaacha akina Nyoni, Wawa na Mugalu kwani kwa Yanga SC hii yetu iliyokosa Ubingwa miaka Minne na inayoota Kuupata bila Mafanikio kwa Msimu huu hawa watatufaa mno tu.
Tumekusikia.Nashauri wana Yanga SC Wenzangu hapa JamiiForums na Uongozi wa Yanga SC hadi Matajiri wetu GSM kuwa tuachaneni na hawa Wachezaji Aucho, Bangala na Kipa Diara kisha tuwavizie Wachezaji ambao Simba SC inaenda kuwaacha akina Nyoni, Wawa na Mugalu kwani kwa Yanga SC hii yetu iliyokosa Ubingwa miaka Minne na inayoota Kuupata bila Mafanikio kwa Msimu huu hawa watatufaa mno tu.
Vp chanjo inafanya kaziiii.Nashauri wana Yanga SC Wenzangu hapa JamiiForums na Uongozi wa Yanga SC hadi Matajiri wetu GSM kuwa tuachaneni na hawa Wachezaji Aucho, Bangala na Kipa Diara kisha tuwavizie Wachezaji ambao Simba SC inaenda kuwaacha akina Nyoni, Wawa na Mugalu kwani kwa Yanga SC hii yetu iliyokosa Ubingwa miaka Minne na inayoota Kuupata bila Mafanikio kwa Msimu huu hawa watatufaa mno tu.
kwani genta anatoka SUA? SUA sio pa mchezo mchezoWewe popoma wa SUA tutolee mashudu yako hapa
Umechangia uwanja wenu?
GENTAMYCINE kwanzia lini wewe ni Yanga?Nashauri wana Yanga SC Wenzangu hapa JamiiForums na Uongozi wa Yanga SC hadi Matajiri wetu GSM kuwa tuachaneni na hawa Wachezaji Aucho, Bangala na Kipa Diara kisha tuwavizie Wachezaji ambao Simba SC inaenda kuwaacha akina Nyoni, Wawa na Mugalu kwani kwa Yanga SC hii yetu iliyokosa Ubingwa miaka Minne na inayoota Kuupata bila Mafanikio kwa Msimu huu hawa watatufaa mno tu.
Kausha...!!!!
Mnapata tabu na maveteran wenu, vip mshapona mafua?Nashauri wana Yanga SC Wenzangu hapa JamiiForums na Uongozi wa Yanga SC hadi Matajiri wetu GSM kuwa tuachaneni na hawa Wachezaji Aucho, Bangala na Kipa Diara kisha tuwavizie Wachezaji ambao Simba SC inaenda kuwaacha akina Nyoni, Wawa na Mugalu kwani kwa Yanga SC hii yetu iliyokosa Ubingwa miaka Minne na inayoota Kuupata bila Mafanikio kwa Msimu huu hawa watatufaa mno tu.
🤣🤣🤣🤣Cha Arusha ukikivutia chooni uwa kina madhara makubwa sana watu watashangaaa unaanza kuokota makopo wakifikili labda umerogwa kumbe misokoto imekupelekea moto🤣🤣🤣Nashauri wana Yanga SC Wenzangu hapa JamiiForums na Uongozi wa Yanga SC hadi Matajiri wetu GSM kuwa tuachaneni na hawa Wachezaji Aucho, Bangala na Kipa Diara kisha tuwavizie Wachezaji ambao Simba SC inaenda kuwaacha akina Nyoni, Wawa na Mugalu kwani kwa Yanga SC hii yetu iliyokosa Ubingwa miaka Minne na inayoota Kuupata bila Mafanikio kwa Msimu huu hawa watatufaa mno tu.
Nikiwafurahisha nyie hapa na Kuchangamka huwa nafurahi japo kuna muda huwa naamua tu Kuwazingua na Kutafuta Mabishano ili Siku ipite na siyo muda Wote tunakuwa 'siriasi' pekee.We jamaa unafurahishaga sana! Nilikuwa sina mpango wa kucheka!