Wana Yanga SC Wote wa JF msijifanye hamjamsikia aliyewawekeni Mfukoni mwake Injinia Hersi Said hasa juu ya hili......

an idiot from the true North
 
Wewe Jamaa kwa jinsi ulivyoshikwa na Hasira hivi nahisi ungenijua na kuwa karibu nawe na unamiliki Kisandu ( Bastola ) ama hakika ungenifyatua Ubongo wangu na kunitenganisha Bandama yangu.
 
Kalipe ile 26000 kwanza πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Aliwadanganya atawajengea uwanja kigamboni mpaka Sasa kimya Ila injinia NI ntu wa dili sana
Ameshawajua wana Yanga SC wote ni Zero Brain Mkuu. Yaani kamtafuta Denis Nkane na wakakaa nae Hotelini kisha akaweka ile Video ya anafunga Goli la 'Tik Tak' na Kuisambaza kwa wana Yanga SC Mitandaoni ili wamuone Mjanja na anajua Kusajili kisha Nkane asajiliwe Yanga SC na wamtumie Kibiashara hasa kwa Mauzo ya Jezi yake na Kumtumia katika Matangazo yao ya GSM.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…