Mtoto halali na hela
JF-Expert Member
- Aug 10, 2012
- 52,160
- 48,974
Wataelewa sasa?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
an idiot from the true North"Unamkuta mwana Yanga kama Frank Wanjiru na Daudi Mchambuzi wanaropoka sana huko Redioni, katika Runinga ba Mitandaono kuisema vibaya Yanga SC yetu ila ukiangalia kama Mwanachama amechangia Pesa yoyote unakuta hakuna. Yanga SC hii sasa tumedhamiria kuachana na Wapuuzi kama hawa ambapo tumeanzisha Utaratibu ili Lawama zako zisikike na Uongozi na ufanyiwe Kazi Kwanza unatakiwa uwe hudaiwi Pesa kama Mwanachama na pia uwe umejiunga na Kundi Maalum la Wanayanga la Mtandaoni ambako huko na kwenyewe utalipia Ada fulani ili unayoyasema yawe yanasikika. Hii ni Yanga SC mpya na tunamaanisha" amesema Injinia Hersi Said ( Tajiri aliyeiweka Yanga SC yote Mfukoni na anaifanya atakavyo ) mapema Wiki hii alipokuwa akiongea ( akibwabwaja ) na Clouds FM katika Kipindi chao cha Michezo cha Sports Extra.
Hawa JF Members niliowataja hapa nimewachomekea tu ( Kiutani ) kwakuwa nawajua ni wana Yanga SC lia lia ila hayo maneno mengineyo yote niliyoyanukuu hapo Injinia Hersi Said aliyasema.
Hakika GSM wameshajimilikisha Yanga.
Wewe Jamaa kwa jinsi ulivyoshikwa na Hasira hivi nahisi ungenijua na kuwa karibu nawe na unamiliki Kisandu ( Bastola ) ama hakika ungenifyatua Ubongo wangu na kunitenganisha Bandama yangu.Ni baya lipi apo aliloongea hersi lililokufanya mpaka ukafungua uzi, kuwaambia wanachama walipie kadi zao? Katiba ya yanga kwa sasa unaelewa inasema nini juu ya wanachama na mashabiki? Kama uelewi kitu juu ya ilo basi usiwe unapost upuuzi apa, watu wako wanahamasisha na kutoa elimu juu ya kadi za uanachama wewe unaleta ushambenga wako wa kikuda na wivu juu, nenda kahoji kwanza habari za mwamed na babra ukimaliza uko ndo uje kuhoji habari zisizokuusu za timu ya wananchi
Kalipe ile 26000 kwanza 😂😂😂Ni baya lipi apo aliloongea hersi lililokufanya mpaka ukafungua uzi, kuwaambia wanachama walipie kadi zao? Katiba ya yanga kwa sasa unaelewa inasema nini juu ya wanachama na mashabiki? Kama uelewi kitu juu ya ilo basi usiwe unapost upuuzi apa, watu wako wanahamasisha na kutoa elimu juu ya kadi za uanachama wewe unaleta ushambenga wako wa kikuda na wivu juu, nenda kahoji kwanza habari za mwamed na babra ukimaliza uko ndo uje kuhoji habari zisizokuusu za timu ya wananchi
wanachunga kondoo sasa hiviAliwadanganya atawajengea uwanja kigamboni mpaka Sasa kimya Ila injinia NI ntu wa dili sana
Ameshawajua wana Yanga SC wote ni Zero Brain Mkuu. Yaani kamtafuta Denis Nkane na wakakaa nae Hotelini kisha akaweka ile Video ya anafunga Goli la 'Tik Tak' na Kuisambaza kwa wana Yanga SC Mitandaoni ili wamuone Mjanja na anajua Kusajili kisha Nkane asajiliwe Yanga SC na wamtumie Kibiashara hasa kwa Mauzo ya Jezi yake na Kumtumia katika Matangazo yao ya GSM.Aliwadanganya atawajengea uwanja kigamboni mpaka Sasa kimya Ila injinia NI ntu wa dili sana
Asante. Halijanitosha niongezee lingine.an idiot from the true North
hersi anawageuza anavyotaka 😹😹😹😹[emoji1787][emoji1787][emoji1787]. wenyewe wanaona lakini
Mwananchi ataongea nini mbele ya Engineer? Ropoka uone kama mtaweza kulipa hata wafagiaji wa banda lile la JangwaniMwamedi kashawapora timu
......yanga bado ni ya WANANCHI