Wana Yanga wachukizwa na kauli ya Hersi kuhusu TFF

Sema we jamaa una IQ kubwa sana.
Kama mna machungu sana na TFF itisheni kikao cha wanachama, Mwenyekiti awe Manara halafu mjitangaze kujitoa kwenye mashindano yote yanayosimamiwa na TFF. Ila fanyeni hivyo kama kweli ninyi ni wanaume na sio Mandonga!!
 
Sasa ndo nimeamini Njaakalinihatari ni nani ni ......
 
Kama mna machungu sana na TFF itisheni kikao cha wanachama, Mwenyekiti awe Manara halafu mjitangaze kujitoa kwenye mashindano yote yanayosimamiwa na TFF. Ila fanyeni hivyo kama kweli ninyi ni wanaume na sio Mandonga!!
Inamaana Manara huko Yanga keshanzq kuwashika nasikio na kujitangazia Ufalme kuliko rais wake!
Mqnara kashakuwa Boss Yanga! 😁

Hakya nani huyu mdudu lazima awalize Yanga!
 
RaIs wetu anatumia hekima na busara tofauti na Manara huwa ni mtu wa kukurupuka hii ndiyo maana ya tofauti zetu hapa duniani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…