Wana Yanga wenzangu kinachoenda kufanyika Sudan na Al Hilal siyo mpira ni vita!

Hiyo mechi haitoonyeshwa utakuja kunambia [emoji28] it's matter of time

Lisemwalo lipo kama halipo laja
 
Kuna comments nikisoma huwa sirudi kuangalia jina najua huyu atakua bwegenazi wa Makolo mwenye njaa kali. Yan wewe ndani ya santensi tatu za mwanzo huwa unajianisha kila kitu.

Unachonishangaza sasa sijui unahisi unachofanya watu wanakifurahia kumbe kiuhalisia sio mchongo kabisa unajidhalilisha tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Duuuh wangeacha tuu tuone wanavyofumuliwa magoli mengi. Any way wameshapata kisingizio tayari cha kusema kuwa wameonewa n.k
Simba Sc alipocheza na Plateau ya Nigeria mchezo ulionyeshwa? Mbona hakuna sehemu yoyote ambapo Simba Sc alikitumia hicho kama kisingizio?

Wao wakitolewa watoke kimya tu.
 
Reactions: BRN
Hivi kuna mchezaji gani pake wa Yanga unaweza kumtoa mchezoni kwa kumtishia nyau! Maana karibia wote wamecheza mashindano mbalimbali ya kimataifa!

Huo mchecheto wao, ni faida kwa Wananchi. Binafsi namuombea tu heri Kocha mwenzangu Nabi kupanga kikosi sahihi cha kumpa ushindi. Usawa huu unakubali vipi kufanyiwa figisu!
 
Kwahiyo unajiamini kuwa , Yanga Sc ataingia makundi sio?
 
Hivi CAF hawezi kuwalazimisha kuonesha?.
Hiyo sio kazi yao wao ni kupangilia ratiba tu maswala yanayoendelea hapo mtamalizana nyinyi kwa nyinyi.

Na ndio maana hata jukumu la kuwapokea timu pinzani linafanywa na mwenyeji na sio management ya CAF

Na ndio maana Yanga mlikuwa huru kumpeleka Pyramid CCM Kirumba ili mpate mseleleko kwasababu ya ubovu wa uwanja japo mechi iliisha watani wakiwa wamepasuka bao 2-1
 
Wataon
Duuuh wangeacha tuu tuone wanavyofumuliwa magoli mengi. Any way wameshapata kisingizio tayari cha kusema kuwa wameonewa n.k
Wataonewa kivipi..kwani officials wa CAF si watakuwepo..waache kutafuta sababu..wakiweza waende na washabiki wao
 
Al Hilal ni vibonde tu, kwanza Yanga Sc inawazidi kila kitu kuanzia pesa mpaka miundombinu, Al Hilal ni underdogs mbele ya Yanga hii yenye uzoefu mkubwa kabisa na haya mashindano ya CAFCLCC.

Yanga hii kwa hapa Africa sioni yoyote wa kuisumbua,hakuna kabisa.
 
Simba Sc alipocheza na Plateau ya Nigeria mchezo ulionyeshwa? Mbona hakuna sehemu yoyote ambapo Simba Sc alikitumia hicho kama kisingizio?

Wao wakitolewa watoke kimya tu.
Kwani kuna kiongozi amejitokeza kulalamikia jambo hilo? au ni vile mnajifurahisha tu humu jukwaani! Yanga siyo timu ya kulialia aisee!

Na uzuri inaweza kupata matokeo uwanja wowote ule kutokana na aina ya wachezaji iljo nao.
 
Mi nazungumzia mentality, na ndio maana mashabiki uwanjani wana mchango wao kuisaidia timu kupoata matokeo
 
Awajamaa ndio mambo yao nakumbuka ata mechi ya al hilal na st george waligoma isioneshwe ili wafanye michezo yao
 
Corrasco akili huna[emoji16][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
 
Afrika kwenye soka bado sana.
Yaani karne hii bado kuna klabu hazitaki mechi zake kurushwa live na Tv au kutangazwa redioni, ili iweje?
Waafrika bado tumebakia kwenye uchawi na ulaghai mtupu.
 
Mlisema Yanga hii ni nzuri second half na mkabinywa mbupu hiyo second half, sasahivi Yanga ni nzuri away?[emoji23]

Ugenini mlicheza lini zaidi ya kucheza game zote kwa mkapa (home&away) dhidi ya Zalan Fc, hiyo Yanga hatari away uliiona wapi au ndo kufuta namna ya kujitia matumaini?[emoji23]

Kweli mmepagawa.
 
Mi nazungumzia mentality, na ndio maana mashabiki uwanjani wana mchango wao kuisaidia timu kupoata matokeo
Haijalishi. Yanga ina wachezaji wenye uzoefu na haya mashindano. Hivyo kubali tu lolote linaweza kutokea. Huo mchecheto wa hao Waarab, ni ushahidi tosha wamewaheshimu wapinzani wao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…