Ulimakafu
JF-Expert Member
- Mar 18, 2011
- 31,248
- 13,244
Kweli tulichemka sana....tuliwachezea ulaini sana wakanenepeana ovyo.aya yote tumeyataka wenyewe tungempiga 3 kavu apa home ata wangesema mechi ichezwe kwenye majahazi tungekubali
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kweli tulichemka sana....tuliwachezea ulaini sana wakanenepeana ovyo.aya yote tumeyataka wenyewe tungempiga 3 kavu apa home ata wangesema mechi ichezwe kwenye majahazi tungekubali
Hiyo mechi haitoonyeshwa utakuja kunambia [emoji28] it's matter of timeSasa wale mashabiki wa Yanga ambao walikuwa wanasema Al Hilal ameridhika na matokeo ya kwa Mkapa na kuwa kule kwao wata defense ili wapate sare ya 0-0 wao wavuke naona wameanza kugundua hawakuwa sahihi
Mimi naamini hii mechi itaoneshwa live, kinachofanywa saizi hapa ni figisu za kuwatoa mchezoni ili focus yao katika kipindi hiki ipotee kwenye kuhangaikia kwenye maswala ya broadcasting
Na sio hivyo tu, wataweza kutengeneza propaganda nyingine ambazo zitaingia kwenye rotation katikati ya hili sakata ambalo wana dili nalo saizi.
Hayo yote yatafanyika wakati Yanga bado yupo hapa hapa Tanzania, unaweza ku imagine watakutana na figisu za kiasi gani wakifika huko.
Yanga na mashabiki wake wanapaswa waelewe kuwa timu pinzani haiwezi ikafanya hayo yote kwa lengo la kutafuta sare tena ikiwa nyumbani.
Wakawa mwembe wa uani.Ila baada ya kuja kwa wananchi, akaanza sasa kuwaangushia vipigo mfululizo! Mkijitutumua, basi ni sare!
Kuna comments nikisoma huwa sirudi kuangalia jina najua huyu atakua bwegenazi wa Makolo mwenye njaa kali. Yan wewe ndani ya santensi tatu za mwanzo huwa unajianisha kila kitu.yanga ni team kubwa sana hata afrika ilistuka kutoa draw na team ndogo kama al hilal, hata wakitolewa wakaangukai shirikisho yanga watapangwa na kibonde kwenye knockout sababu wana points nyingi CAF ,maana vibonde wanapangwa na team heavy zenye points heavy kutafuta teams za kuangukia shirikisho
Simba Sc alipocheza na Plateau ya Nigeria mchezo ulionyeshwa? Mbona hakuna sehemu yoyote ambapo Simba Sc alikitumia hicho kama kisingizio?Duuuh wangeacha tuu tuone wanavyofumuliwa magoli mengi. Any way wameshapata kisingizio tayari cha kusema kuwa wameonewa n.k
Hivi kuna mchezaji gani pake wa Yanga unaweza kumtoa mchezoni kwa kumtishia nyau! Maana karibia wote wamecheza mashindano mbalimbali ya kimataifa!Sasa wale mashabiki wa Yanga ambao walikuwa wanasema Al Hilal ameridhika na matokeo ya kwa Mkapa na kuwa kule kwao wata defense ili wapate sare ya 0-0 wao wavuke naona wameanza kugundua hawakuwa sahihi
Mimi naamini hii mechi itaoneshwa live, kinachofanywa saizi hapa ni figisu za kuwatoa mchezoni ili focus yao katika kipindi hiki ipotee kwenye kuhangaikia kwenye maswala ya broadcasting
Na sio hivyo tu, wataweza kutengeneza propaganda nyingine ambazo zitaingia kwenye rotation katikati ya hili sakata ambalo wana dili nalo saizi.
Hayo yote yatafanyika wakati Yanga bado yupo hapa hapa Tanzania, unaweza ku imagine watakutana na figisu za kiasi gani wakifika huko.
Yanga na mashabiki wake wanapaswa waelewe kuwa timu pinzani haiwezi ikafanya hayo yote kwa lengo la kutafuta sare tena ikiwa nyumbani.
Kwahiyo unajiamini kuwa , Yanga Sc ataingia makundi sio?Unahamisha magoli siyo! Wewe sema tu hao waarabu wenu koko wameingiwa na mchecheto.
Na kwa bahati nzuri wanatambua fika Yanga imesheheni wachezaji wenye uzoefu na mashindano ya kimataifa. Hivyo hawawezi kutoka kirahisi tu mchezoni kupitia hizo mind game zao.
Hiyo sio kazi yao wao ni kupangilia ratiba tu maswala yanayoendelea hapo mtamalizana nyinyi kwa nyinyi.Hivi CAF hawezi kuwalazimisha kuonesha?.
Wataonewa kivipi..kwani officials wa CAF si watakuwepo..waache kutafuta sababu..wakiweza waende na washabiki waoDuuuh wangeacha tuu tuone wanavyofumuliwa magoli mengi. Any way wameshapata kisingizio tayari cha kusema kuwa wameonewa n.k
Al hilal na st george ya ethiopia ulioneshwa?Hiyo mechi haitoonyeshwa utakuja kunambia [emoji28] it's matter of time
Lisemwalo lipo kama halipo laja
Al Hilal ni vibonde tu, kwanza Yanga Sc inawazidi kila kitu kuanzia pesa mpaka miundombinu, Al Hilal ni underdogs mbele ya Yanga hii yenye uzoefu mkubwa kabisa na haya mashindano ya CAFCLCC.Hawa jamaa wanaihofia Yanga kiasi hiki? Mimi nilidhani ni makolo peke yao kumbe hata Hilal wanahofu ya kukutana na suprise ya ajabu wasije aibika pia ni kwa ajili ya wao kufanya upuuzi wao kwa kigezo cha mpira wa Africa.
Nonsense Hilal huu upuuzi ushapitwa na wakati weka gozi uwanjani waache wasio uwanjani nao wa enjoy football.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwani kuna kiongozi amejitokeza kulalamikia jambo hilo? au ni vile mnajifurahisha tu humu jukwaani! Yanga siyo timu ya kulialia aisee!Simba Sc alipocheza na Plateau ya Nigeria mchezo ulionyeshwa? Mbona hakuna sehemu yoyote ambapo Simba Sc alikitumia hicho kama kisingizio?
Wao wakitolewa watoke kimya tu.
Mi nazungumzia mentality, na ndio maana mashabiki uwanjani wana mchango wao kuisaidia timu kupoata matokeoHivi kuna mchezaji gani pake wa Yanga unaweza kumtoa mchezoni kwa kumtishia nyau! Maana karibia wote wamecheza mashindano mbalimbali ya kimataifa!
Huo mchecheto wao, ni faida kwa Wananchi. Binafsi namuombea tu heri Kocha mwenzangu Nabi kupanga kikosi sahihi cha kumpa ushindi. Usawa huu unakubali vipi kufanyiwa figisu!
Kazi kwaoWataon
Wataonewa kivipi..kwani officials wa CAF si watakuwepo..waache kutafuta sababu..wakiweza waende na washabiki wao
Corrasco akili huna[emoji16][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]رفتن نوعش نکسوس تلسننتط نکوواففبرشگ موودسسونانطسگ ننکاهستوگطپت[emoji378][emoji378][emoji378][emoji378] MOCHWARI کتثحگکوسوث[emoji196][emoji196][emoji196]UTOPOLOکوسکککطنKIBWANA SHOMARI ننیمنگAL HILAL
A.k.a MatolaWewe kweli ni Achimwene[emoji23]
Mlisema Yanga hii ni nzuri second half na mkabinywa mbupu hiyo second half, sasahivi Yanga ni nzuri away?[emoji23][emoji16][emoji16][emoji16] Kuwa serious aisee! Hii Yanga ya sasa ni ya kufumuliwa magoli mengi kweli!! Yaani kama ile simba ya khamsa khamsa!!
Kwa taarifa yako, Yanga ya msimu huu ni tamu zaidi ikicheza viwanja vya ugenini, kuliko hata pale kwa Mkapa.
Haijalishi. Yanga ina wachezaji wenye uzoefu na haya mashindano. Hivyo kubali tu lolote linaweza kutokea. Huo mchecheto wa hao Waarab, ni ushahidi tosha wamewaheshimu wapinzani wao.Mi nazungumzia mentality, na ndio maana mashabiki uwanjani wana mchango wao kuisaidia timu kupoata matokeo