Wana Yanga wenzangu kinachoenda kufanyika Sudan na Al Hilal siyo mpira ni vita!

Wana Yanga wenzangu kinachoenda kufanyika Sudan na Al Hilal siyo mpira ni vita!

Hivi kwanini hawa Wasudani wanaachiwa kufanya watakalo kwenye michuano hii ya CAF..!

Kipindi kile Al Ahly Shendi walifanya vurugu sana dhidi ya Simba SC

Hata kama Yanga wanawakusudia kuwanyonga, ndo wawanyonge kwenye giza kweli...?!
Ngoja waoneshwe fitna zilivyo wao SI mabingwa wa fitna bongo!
 
Hiyo mechi haitoonyeshwa utakuja kunambia [emoji28] it's matter of time

Lisemwalo lipo kama halipo laja
Master mechi lazima itaoneshwa na tena taarifa ya approval itatolewa muda mfupi kukiwa kumesalia masaa kadhaa ya mchezo kuanza
 
Mlisema Yanga hii ni nzuri second half na mkabinywa mbupu hiyo second half, sasahivi Yanga ni nzuri away?[emoji23]

Ugenini mlicheza lini zaidi ya kucheza game zote kwa mkapa (home&away) dhidi ya Zalan Fc, hiyo Yanga hatari away uliiona wapi au ndo kufuta namna ya kujitia matumaini?[emoji23]

Kweli mmepagawa.
Tumepagawa na nini sasa! Just wait and see.
 
Imagine mchezaji kama Bernard Morrison, eti unamtishia nyau! Aisee anakumaliza. Yaani hao Wasudan waombee Nabi aanzishe tu kikosi dhaifu!

Ila akipanga kikosi chake kwa usahihi, kiukweli uwezekano wa kufuzu ni mkubwa sana.
Uwezekano wa kuwapiga kama ngoma, sio? Mtakuja kukataana humu ndani[emoji23]
 
Uongozi wa Klabu ya Al Hilal umezuia mchezo wao wa Klabu Bingwa dhidi ya Yanga kuonyesha kwenye Tv wala kutangazwa kwenye Redio.

Taarifa zinasema kuwa Azam Media wametoa dau la milioni 200 ili kupata haki ya kuonyesha matangazo hayo, lakini wamezuiliwa.

Japo vyombo mbalimbali vya habari vinaendelea kuonyesha jitihada ya kuweka dau kubwa lakini matajiri hao wa Sudan hawataki mchezo huo uonyeshwe wala kutangazwa kwenye redio.

Kama kutakuwa na mabadiliko taarifa zaidi zitatolewa.

[emoji361]Fox MediaView attachment 2383314
Kwasababu gani.. kwani sheria za Fifa zinasemaje?

Sent from my SM-A135F using JamiiForums mobile app
 
Mlisema Yanga hii ni nzuri second half na mkabinywa mbupu hiyo second half, sasahivi Yanga ni nzuri away?[emoji23]

Ugenini mlicheza lini zaidi ya kucheza game zote kwa mkapa (home&away) dhidi ya Zalan Fc, hiyo Yanga hatari away uliiona wapi au ndo kufuta namna ya kujitia matumaini?[emoji23]

Kweli mmepagawa.
Yanga ni nzuri akichezesha Arajiga
 
Kuna comments nikisoma huwa sirudi kuangalia jina najua huyu atakua bwegenazi wa Makolo mwenye njaa kali. Yan wewe ndani ya santensi tatu za mwanzo huwa unajianisha kila kitu.

Unachonishangaza sasa sijui unahisi unachofanya watu wanakifurahia kumbe kiuhalisia sio mchongo kabisa unajidhalilisha tu

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwahiyi mwamba alivyosema Yanga ni team kubwa kuliko Al Hilal kakosea? Si nyinyi ndo mlikuwa mkijinadi hivyo?
 
Sio kwamba wanawahofia la

Hapo ni kama wanazoofisha na kuwaua psychologically usishangae wakaongeza vitisho zaidi ili wachezaji kuwatia wasi wasi
Sasa mkuu hii dunia ya sasa nani asiyezijua mind games mpaka saivi? Hawa wana mambo yao tu hawataki yawe addressed kwenye tv.

Au niambie wewe unahisi ni kwa sababu gani wamegomea hii match kuonyeshwa kwenye tv

Sent using Jamii Forums mobile app
 
😁😁😁 Kuwa serious aisee! Hii Yanga ya sasa ni ya kufumuliwa magoli mengi kweli!! Yaani kama ile simba ya khamsa khamsa!!

Kwa taarifa yako, Yanga ya msimu huu ni tamu zaidi ikicheza viwanja vya ugenini, kuliko hata pale kwa Mkapa.
Jipe moyo ndugu,huko ugenini mlienda lini? Zaidi ya kupigwa ndani nje na Rivers
 
Hiyo sio kazi yao wao ni kupangilia ratiba tu maswala yanayoendelea hapo mtamalizana nyinyi kwa nyinyi.

Na ndio maana hata jukumu la kuwapokea timu pinzani linafanywa na mwenyeji na sio management ya CAF

Na ndio maana Yanga mlikuwa huru kumpeleka Pyramid CCM Kirumba ili mpate mseleleko kwasababu ya ubovu wa uwanja japo mechi iliisha watani wakiwa wamepasuka bao 2-1
Wao wanaona hii leo Hilal kafanya figisu kubwa saana, wanasahau wao waliacha uwanja mzuri wakawapekeka Pyramids Kirumba kwenye uwanja mbaya [emoji23].
 
Aka
A.k.a Matola
Umanaanisha hili Bumunda?[emoji23]
Screenshot_20221011-093120.jpg
 
Sisi hatutaki kujua wala kuona Yanga kafa vipi tunachotaka kujua ni kafa tu
 
Back
Top Bottom