Expensive life
JF-Expert Member
- May 2, 2020
- 2,971
- 9,437
Mimi kama mwanayanga lialia nimeumia sana na hizi jezi za msimu huu. Hivi aliyedizain ni nani? Mbona analeta masighara na brand yetu?
Hivi kweli sisi ni wa kutuwekea magodauni kwenye jezi zetu? Msimu uliopita mlituvalisha misukule msimu huu mmeamua kutuletea magofu na machinjio hii haikubaliki.