EINSTEIN112
JF-Expert Member
- Oct 26, 2018
- 21,711
- 35,644
Wanajifanya wanaipenda ila deep inside wanatukana matusi ya nguoni😅😅😅😅Safari hii wamepatikana,jamaa anataka kurusha ngumi kisa kaambiwa jezi mbayaa [emoji3][emoji3]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wanajifanya wanaipenda ila deep inside wanatukana matusi ya nguoni😅😅😅😅Safari hii wamepatikana,jamaa anataka kurusha ngumi kisa kaambiwa jezi mbayaa [emoji3][emoji3]
Halafu kinachomshangaza hapo ni nini? Sisi wadhamini tuna maghala yetu, anataka tutangaze wapi? Kuhoji kwingine hakuna hata mantiki.Wewe umewahi kuwa mbunifu hata wa chupi Yako?, Ushabiki maandazi wakudhani WATU wote wanafikiria kipuuz kama!!. Hebu tuletee wazo lako ulilolitoa kichwan na kuliwasilisha katika muonekano Ili tukupime na huu ukosoaji wakijinga!
Acha upumbavu iyo jezi ni kali sana acha unafiki wewe sio mwanayanga weweMimi kama mwanayanga lialia nimeumia sana na hizi jezi za msimu huu. Hivi aliyedizain ni nani? Mbona analeta masighara na brand yetu?
Hivi kweli sisi ni wa kutuwekea magodauni kwenye jezi zetu? Msimu uliopita mlituvalisha misukule msimu huu mmeamua kutuletea magofu na machinjio hii haikubaliki.
View attachment 2308067
View attachment 2308068
Kweli wewe ni Yanga?
Mmhh!!Kinachoshangaza ni kuwa Simba wamepaniki na Jezi za Yanga. Kutwa kuzitoa kasoro as if wameombwa wavae wao.
Yanga wenyewe wako poa ila makolo-solo sasa!
Unaelewa maana ya ubinafsi? Mara mia ungesema niache ushabikiKwani ukiwa Yanga hurusiwi kuhoji hata ukiona kosa? Wacha ubinafsi.
Ushabiki wa kiswahili, hizi timu mbili ziba mashabiki waswahili sana na ndo kikwazo kikubwa cha wao kupiga hatua, Yanga na Simba zitakuja kupiga hatua siku huu uswahili kahawa ukiishaMimi kama mwanayanga lialia nimeumia sana na hizi jezi za msimu huu. Hivi aliyedizain ni nani? Mbona analeta masighara na brand yetu?
Hivi kweli sisi ni wa kutuwekea magodauni kwenye jezi zetu? Msimu uliopita mlituvalisha misukule msimu huu mmeamua kutuletea magofu na machinjio hii haikubaliki.
View attachment 2308067
View attachment 2308068
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hatareeeeh sanaa.Tatzio sisi Yanga ni wanafiki
Jana kuna kolo alianzisha uzi wa jezi zilizo leak kabla ya kutangazwa rasmi
Asilimia kubwa ya wana Yanga tuliziponda zile jezi na kusema haiwezekani tukawa na uchafu kama huo
Lakini baada ya kutambulishwa na kuona ni zile zile ambazo mdau alizi post masaa machache kabla ya uzinduzi, watu wote tumebadilisha kauli zetu na saizi tunaanza kuwaona wanaoziita mbaya ni haters.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] iliomba ipewe hifadhi, jua ni kali mnoo.Acha makasiriko ile misukule ya mwaka jana imepata pa kuhamia [emoji28][emoji28][emoji28]
Historia FC [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Shida ya Yanga ni kuwa na uswahiba na CCM! Siku wakitofautisha siasa na mpira hii timu itafika mbali!! Sasa eti unajaza jezi makolokolo ya ajabu eti timu inaitangaza nchi ??
Acha kujishaua basi. Inatuhusu nini sisi?Nachukia sana jersey za njano
Hawa ndiyo maana Ismail Aden Rage aliwaita mbumbumbu! Na ukitaka ujue ni mbumbumbu kweli; waulize tu zilipo zile bilioni 20 za mwekezaji, na mkataba mpya na mbet ni wa shilingi ngapi!Kinachoshangaza ni kuwa Simba wamepaniki na Jezi za Yanga. Kutwa kuzitoa kasoro as if wameombwa wavae wao.
Yanga wenyewe wako poa ila makolo-solo sasa!