cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 96,456
- 156,324
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Ngowi kajua kuwapigaa kwenye mshono.Hawa ndiyo maana Ismail Aden Rage aliwaita mbumbumbu! Na ukitaka ujue ni mbumbumbu kweli; waulize tu zilipo zile bilioni 20 za mwekezaji, na mkataba mpya na mbet ni wa shilinhi ngapi!
Badala ya kujibu kwa usahihi, utashangaa wanakimbilia kutukana matusi ya nguoni! Wako busy na jezi za Yanga, badala ya kuangalia mwenendo wa timu yao huko Misri!
Weraaaaaaaaaah, byuti byuti.