Expensive life
JF-Expert Member
- May 2, 2020
- 2,971
- 9,437
Kama kitu ni kibaya tusiseme kisa hatuna taaluma hiyo?kama jezi ni mbaya ni mbaya bwanaWewe umewahi kuwa mbunifu hata wa chupi Yako?, Ushabiki maandazi wakudhani WATU wote wanafikiria kipuuz kama!!. Hebu tuletee wazo lako ulilolitoa kichwan na kuliwasilisha katika muonekano Ili tukupime na huu ukosoaji wakijinga!
Wewe kama umeona n kibaya ni upande wako, usitake Kila mtu aamini unachoamin wewe. Afu mbona sio lazima kununua wewe kama shabiki usinunue basi tuone kama hazitanunulika. Unapoteza muda Kwa vitu vya kipumbavu kujadili jambo ambalo hakikuingizi kitu π. UpuuziKama kitu ni kibaya tusiseme kisa hatuna taaluma hiyo?kama jezi ni mbaya ni mbaya bwana
Alisikika mat1akipayukaMimi kama mwanayanga lialia nimeumia sana na hizi jezi za msimu huu. Hivi aliyedizain ni nani? Mbona analeta masighara na brand yetu?
Hivi kweli sisi ni wa kutuwekea magodauni kwenye jezi zetu? Msimu uliopita mlituvalisha misukule msimu huu mmeamua kutuletea magofu na machinjio hii haikubaliki.
View attachment 2308067
View attachment 2308068
umeona kad akeeee wewKweli wewe ni Yanga?
Tatzio sisi Yanga ni wanafikiKinachoshangaza ni kuwa Simba wamepaniki na Jezi za Yanga. Kutwa kuzitoa kasoro as if wameombwa wavae wao.
Yanga wenyewe wako poa ila makolo-solo sasa!
Punguza jazba,unawafokea watu kisa tu wanatoa maoni ambayo wewe hupendi kuyasikia.Wewe kama umeona n kibaya ni upande wako, usitake Kila mtu aamini unachoamin wewe. Afu mbona sio lazima kununua wewe kama shabiki usinunue basi tuone kama hazitanunulika. Unapoteza muda Kwa vitu vya kipumbavu kujadili jambo ambalo hakikuingizi kitu [emoji4]. Upuuzi
Acha makasiriko ile misukule ya mwaka jana imepata pa kuhamia π π πWewe umewahi kuwa mbunifu hata wa chupi Yako?, Ushabiki maandazi wakudhani WATU wote wanafikiria kipuuz kama!!. Hebu tuletee wazo lako ulilolitoa kichwan na kuliwasilisha katika muonekano Ili tukupime na huu ukosoaji wakijinga!
Pole sana mkuu,Watu wabaya sana.Mimi kama mwanayanga lialia nimeumia sana na hizi jezi za msimu huu. Hivi aliyedizain ni nani? Mbona analeta masighara na brand yetu?
Hivi kweli sisi ni wa kutuwekea magodauni kwenye jezi zetu? Msimu uliopita mlituvalisha misukule msimu huu mmeamua kutuletea magofu na machinjio hii haikubaliki.
View attachment 2308067
View attachment 2308068
Safari hii wamepatikana,jamaa anataka kurusha ngumi kisa kaambiwa jezi mbayaa [emoji3][emoji3]Acha makasiriko ile misukule ya mwaka jana imepata pa kuhamia [emoji28][emoji28][emoji28]
Sasa magodown ya magodoro yetu tutayatangazia wapi? Pesa zetu mnataka, lakini malizetu hamtaki tutangaze.Mimi kama mwanayanga lialia nimeumia sana na hizi jezi za msimu huu. Hivi aliyedizain ni nani? Mbona analeta masighara na brand yetu?
Hivi kweli sisi ni wa kutuwekea magodauni kwenye jezi zetu? Msimu uliopita mlituvalisha misukule msimu huu mmeamua kutuletea magofu na machinjio hii haikubaliki.
View attachment 2308067
View attachment 2308068